ZARI Amuumbua Hamisa Mobetto, Aanika Live Uchafu Wake na Diamond

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Zile tetesi za muda mrefu kuhusu mwanamuziki Diamond Platnums pamoja model maarufu nchini, Hamisa mobeto aka Salome kuvunja amri ya sita huenda zikazaa matunda soon baada ya hivi karibuni mzazi mwenzie ,ambaye pia ni mpenzi wake wa sasa, Zari Hassan ambapo kupitia page yake ya snapchat amepost picha za hereni huku zikiwa zimeambata na ujumbe mzito, ambapo alimtaka mwenye hereni hizo cheap alizozisahau chumbani kwake akazichukue mara moja.

Hata hivo kwa mujibu wa wapenda umbea mjini aka team chambua kama karanga waliweza kuzichambua hereni hizo vizuri na kubaini kuwa zilishawahi kuvaliwa na mwanamitindo maarufu nchini Hamisa Mobetto(pichani) aka SALOME.

Huenda hii ikawa habari Kali kwa wiki hii, hata hivyo bado Zari hajafunguka chochote kuhusu mmliki wa hereni hizo, wala Hamisa bado hajazungumzia chochote kama ni kweli uchafu huo (kama alivyoita Zari) ni wake au sio
-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

6 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Can you people be normal kuweni kama mungu alivowaumba than kila kitu fake mudanganya nafsi zenu kwa kuvaa ma
    wigi kucha fake kope fake yani uzuri. Sio wakuzaliwa

    ReplyDelete
  2. Uchafu ulionao wewe si wala wakukaribiwa na naseeb najisi kabisa pili kwani umemnunua naseeb ukiwa nae ndani ni wako na akiwa nje wa wezako so grand ma jipange upya wacha kutapatapa

    ReplyDelete
  3. Jamani ile si Tanzanite. aliichukua akaiweka mfokoni kuogopa isiibiwe labda aliisahau alivyo badilisha jinzi!

    ReplyDelete
  4. Hahahah,,, huyo hapo juu kajiabisha,, "ety akiwa ndani ni wako nje ni wa wenzio" katafute nawe wako umuweke ndani acha umalaya, njoo hata kwangu kama kinakuwasha acha wame za watu ,, awe mzee asiwe mzee kwenye mapenz wote watoto ndo maana utasikia majina huitana bebyy ,, honey ... Wenye wivu wajinyonge tena kwa minyororo

    ReplyDelete
  5. wewe anonymous 9:56 ur so stupid i think ur zero on understanding at huyu hapo juu kaijiabisha there's nothing like that huo ni ukweli kabisa wake up

    ReplyDelete

Top Post Ad