Ali Kiba Aikana Nyumba Inayoonyeshwa Kwenye Mitandao Kuwa ni yake

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Ally Kiba aikana nyumba inayoonekana mitandaoni wakisema ni yake, hii ni alipokua akihojiwa kwenye moja ya radio maarufu nchini
.
"Aliyekwambia mi Nina nyumba nani, naishi nyumba ya kupanga hata ingekuwa yangu mi sipendi show off ni maisha yangu" alisema
-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Tags

Post a Comment

5 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. saaafi sana Kiba. kaa kimya hayo ni maisha ako. waache malimbukeni wajitangaze walikuwa wanalala kwenye kibanda cha kuku.

    ReplyDelete
  2. uwo ndo uanaume Kiba, usiwe kama kipofu kaona mwezi hata choo tunatangaziwa cha dhahabu kumbe rangi ya gold.

    ReplyDelete
  3. Kwani show off nini we bwana mdogo umeulizwa swali rahisi lkn unapuyanga tu.....kama ni yako uliyemruhusu kuipiga picha na kusambaza si tayari show off hyo. We sema tu ni yako ama sio yako basi umemaliza

    ReplyDelete
    Replies
    1. jamani amesema si yake alafu akaongezea hata hajaropoka ww nawe unayako tu

      Delete
  4. huo ndo udume, sio kila kukicha matangazo na sifa za kisenge.

    ReplyDelete

Top Post Ad