google-site-verification: googleb0bc30c3e5fdb812.html Aunty Ezekeil na Mtoto Wake Wamtua Machozi Wema Sepetu... | UDAKU SPECIAL

Aunty Ezekeil na Mtoto Wake Wamtua Machozi Wema Sepetu...

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Kama ulikuwa bado upo kwenye ndoto ya Wema Sepetu na Aunty Ezekiel kuwa maadui – amka!

Wawili hao wameonekana kutokuwa na tatizo baada ya madam Sepenga kuweka picha ya Aunty akiwa na mwanae Cookie aliyezaa na dansa wa Diamond, Mose Iyobo kwenye mtandao wake wa Instagram na kuandika ujumbe ambao umeonekana kutoa watu machozi.

Wema ameandika kwenye mtandao huo:

My Picture of the day…!!! This is tooo Cute…. Mola akukuuzie Cookie wako Tiake…. #Priceless 😍😍😍 Dah… Iko siku na mimi Inshallah…. Hii pic imenitoa hadi chozi…. You are sooo blessed mumy… @auntyezekiel @auntyezekiel
-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

3 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. AKAH!NYIE WAANDISHI WA HABARI NDIO MNAPANDIKIZA CHUKI KWA WAWILI HAWA,MAANA KILA MLILOKUWA MNALIONA MNAANDIKA,MARA OOH WEMA NA UNTIE WAMECHUNIANA,MARA NININI SASA LIMEWASHUKA.

    ReplyDelete
  2. MTOTO MZURI SANA.UNTIE USIMUWEKE DAWA ZA NYWELE MTOTO,HATA KAMA WANASEMA NI DAWA ZA KITOTO.PLEASE!

    ReplyDelete
  3. Allahummah Bariki

    ReplyDelete

Top Post Ad