Bond: Watoto Wa Wastara Hawakupenda Aolewe

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

SIKU chache baada ya kuripotiwa kupika na kupakua na staa wa filamu za Kibongo, Wastara Juma, Bond Suleiman ameibuka na kusema watoto wa mke huyo wa zamani wa Mbunge wa Donge, Sadifa Juma, hawakupenda mama yao aolewe na mtu mwingine zaidi yake.

Akipiga stori na Za Motomoto News, Bond alisema alipokuwa kwenye ndoa, watoto hao walimfuata na kumwambia kuwa hawakufurahishwa mama yao kuolewa na mtu mwingine kwa sababu ya mapenzi ya dhati aliyokuwa akimuonesha mama yao enzi za uhusiano wao.

“Upendo wangu ndiyo uliomrudisha Wastara maana niliamua kubadilika na kuachana na pombe kwa ajili yake, nawaomba wanawake wanaonisumbua kunitaka kimapenzi waache kwani ninaye Wastara, mwanamke wa maisha yangu, siwezi kumsaliti tena, ndani ya mwaka huu tutafunga ndoa,” alisema Bond ambaye pia ni muigizaji.
-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

1 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. na nyie tumewachoka sasa kaeni kimya kwani hamna mtu yeyote anayefatilia maisha yenu na huyo Wastara ataolewa mara ngapi hata haoni aibu kila siku kwenye mitandao kulilia ndoa, wakati Sajuki akiwa anaishi tulikuwa hatumjui wala hatumuoni Wastara kwenye mitandao ya kijamii tulikuwa tunamjua na kumuona Sajuki tu, lakini tangia Sajuki amefariki Wastara kila siku kwenye mitandao yaani kachukua nafasi ya Sajuki hapo kuna kitu kitakuwa kimetokea yaani Sajuki aondole halafu wewe wastara uchukue nafasi yake

    ReplyDelete

Top Post Ad