Diamond Ataja Bei ya Kuuza Page yake ya Instagram Yenye Followers Milion 2

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

AKIONGEA KUPITIA KITUO CHA TELEVISION CHA CLOUDS TV KUPITIA KIPINDI CHA SHILAWADU ,ALIULIZWA SWALI KUHUSU GHARAMA YA PAGE YAKE KAMA AKITAKA KUIUZA..BILA KUTAFUNA MANENO DIAMOND ALISEMA PAGE YAKE ANAWEZA KUUZA KWA BEI YA DOLA MILIONI 2 SAWA NA TSH BILIONI 4 ZA KITANZANIA.
-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

2 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. huyu nae kupenda kiki mara amenunua nyumba south africa mara amenunua royce royse sasa anauza page dollar million mbili.sijui nani mwenye pesa hizo akatupe kununua page ya instragram

    ReplyDelete

Top Post Ad