Diamond Platnumz Awatupia Madongo Walio Kuwa Wanasema Hajanunua Nyumba South Afrika...Adai Uswahili wake Unamlipa

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Diamond Jana amefika kwa mara ya kwanza kwenye nyumba ambayo alinunua South Afrika na Kuandika Yafuatayo....

"Asa kunya nakunya mie makalio yanawauma wengine, eti inahuu....? Wambie wasininunie mie, wakazane....halaf hii clip naomba wanangu mnisaidie kuwatag wote waliokuwa busy kupost na kuzungumza Kuwa nyumba hii si yangu....waambie hizi ndio kwanza rasharasha clip hata kupost sijaanza bado....soon naamia ndani😂😂...halaf nlisahau, wakikwambia mie mswahili wambie Mswahili haswaaa👌... halaf uswahili wangu najua kuutumia na umefanya leo niwe na kibanda south asa wao Uzungu wao Umewapa mini"
-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

13 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Seriously! hayo maneno yote ya nini jamani mbona wanaokutakia mema ni wengi sana. Hao watu 2 waliosema ovyo ndio povu lote hilo? Usikufuru baraka ulizopewa kwa kusema ovyo D.

    ReplyDelete
  2. wapewape mond safii saana uzungu wao unawasaidia nini c waamie ulaya. ukiwa unaitwa mtanzaia wewe ni mswahili jikubali baba. wao huo uzungu wanautoa wapi??? sisi sote ni watanzania na ni waswahili lugha yetu ya kiswahili ndio inatutambulisha. wahame hao wazungu waende kwako huko uzunguni hii nchi ni ya waswahili tu hata ubadilishe sauti yako hata uongee always englishi utabaki kuwa mswahili tu kama mange yupo ulaya lakini ni mswahili tu ndio maana ana tabia za kimbea ndio asili yetu hiyo. asante mond go go go mtoto wa kiswahili tandale

    ReplyDelete
  3. acha uongo Diamond nyumba siyo yako kubali tu yaishe, huwezi kumiliki mjengo kama huo South africa

    ReplyDelete
  4. WAPE WAPEE VIDONGE VYAO VIKIMEZA WAKITEMA SHAURI YAO!!! BIG UP MOND!!!

    ReplyDelete
  5. uhayawani tuu. hata ukinunua Marekani iko siku utaondoka na shuka jeupe! povu la kiba kuonyesha yake?

    ReplyDelete
  6. Diamond badilika kidogo unatilisha aibu umtandale mno kutembea kote huna mabadiliko ya tabia We need change

    ReplyDelete
  7. Diamond hauna mjengo South Afrika kubali tu yaishe

    ReplyDelete
  8. Dai ujinga ulikuwa nao kamwe hauwezi kukutoka. pesa zako nyumba zako Mademu mpaka Bibi alokuzalia ni wako. sasa povu la nn! ops! ni ile ya Kibaaaaaaaaaaaaaaa. okyyyy. unataka uonekane wewe tuu, na si King alaaaaaaah. alie juu mngoje chini Hayawani mkubwa.

    ReplyDelete
    Replies
    1. hayawani wewe unaotokwa na povu pasipo kujijua, ngoja mpewe vidonge vyenu mfyuuuuuu

      Delete
  9. Nyumba yenyewe haina thamani ya gari hata moja la Ivan. bado povu linamtoka kama jike.

    ReplyDelete
  10. hakuna nyumba South kubali hivyo Diomond, acha misifa

    ReplyDelete
    Replies
    1. mtaishia hivyo hivyo wakati mwenzenu anachomoka

      Delete
  11. hiyo nyumba ni ya mke wa ivan sio yake! ivan ni mganda lakini alijenga south sasa imebaki kwa ivan na huyo dm ataiacha mwache atumiwe na huyo mwanamke wa kitaa demu wa masela

    ReplyDelete

Top Post Ad