Diamond: Wasanii Wengi wa Kimataifa Wametaka Kujiunga na WCB ila Nimewakatalia

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Diamond amedai kuna wasanii wengi wa kimataifa Afrika na nje ya Afrika wametaka kujiunga na WCB lakini amewakatalia kwa kuwa anatka kukuza wa nyumbani kwanza 
Pia amesema sasa hivi hawachukui wasanii wengine wachanga mpaka Ray vanny na harmonize wakue vizuri
Msikilize Hapa:

-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Tags

Post a Comment

5 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Hahahahhhahhha eti wat....jamnnn jamnnn....wasanii kutoka nje wanataka nn mixeewwww

    ReplyDelete
  2. Haaaaaa nacheka kwa Dharau...

    ReplyDelete
  3. Na nje ya Africa??? Siamini hata kidogo mbona unapenda misifa namna hiyo?

    ReplyDelete
  4. Wapiiii kolabook ya Neyoooo Mzeee wa Misifaaaa tujiachie sieee kama salome......

    ReplyDelete
  5. eti tuleteeni kolabo ya Ne-yo

    ReplyDelete

Top Post Ad