Ex wa Moses Iyobo Amgusa Kunako Aunty Ezekiel...Aunty Atoa Povu Hili....

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Ex wa mcheza Dance Maarufu Moses Iyobo leo amepost picha ya Harmonize na Wolper akimpa Harmonize hongera kwa kushinda tuzo ya Afrimma, ndani ya ujumbe huo inaonekana kuna dongo kwa Mpenzi wa Moses Iyobo wa sasa Aunty Ezekiel...

Anty Ezekiel aliamua kujibu mapigo hivi:

Auntyezekiel
"Baby Cjui Ulimpa Nn yule jaman Mana anazunguka wee Anatoa tako koteee Ila hakusahau jaman Kumbe hata aliporudi back alikuwa mawindoni kashindwa kaanza Upya looh!Mlikuwa wote hata Mombasa hawakukujua maskini leo Hadi Afrima wanakutambua kumbe alikuwa anafatilia maskini bado ndio kwanza tunaanza safari...Ma lv mdogo mdogo ndio mwendo Achana na maneno yake alikuacha kwenye Geto wiki na miezi yy busy na Mganga leo ndio anaona wamaana au unaona watu hawaongei ww Binti plz just leave ma family Mama katafute na ww pakunyakua ukipata viwembe tena vumilia mwisho utapata wako ni Kupambana tuu Huyu si wako tena alichoka kukaa geto ma lv Pesa zote Unakula hata kupanga chumba kimoja kilikushinda hiyo Family au Mfano Hebu kataftie mtoto Baba acha kushindana na Mm am not ur type ma lv ... an huyu kurudi huko sahau boo boo an Ni mwanzo na mwisho kupost kuhusu ww nahisi Followers nilokupa wanakutosha.byee Enjoy ur life😘 #hutakiwikufanyahasira unatakiwa kukakaamaa kwani Ujenzi wa bila kazi Umemaliza#povulangulamwisho byeee" aliandika Aunty Ezekiel Kwenye Ukurasa wake wa Instagram
-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

2 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Ni ukweli usiopingika aunty una nuksiiii yani una nuksi hasa we dada...mi nilishasahau hata kama kuna mose iyobo pole kama imepenya...

    ReplyDelete
  2. naimepenya weli kweli mana anamikos huyu dadaa mose anahangaikaa lkn hamna kituu akate viuno walee hamna namnaaa aunty ana gubu harafu ana mikosi

    ReplyDelete

Top Post Ad