Hans van Pluijm amejiuzulu Yanga Baada ya Kusikia Ujio wa Kocha Mpya

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Kocha Mkuu wa klabu ya Yanga Hans van der Pluijm ameandika barua ya kujiuzulu kuifundisha klabu hiyo ya Jangwani.

Uamuzi wa Pluijm umekuja baada ya tetesi kuzangaa kwamba uongozi wa klabu hiyo unampango wa kubadili benchi la ufundi la klabu hiyo huku yeye kama kocha wa sasa akiwa hana taarifa rasmi kutoka kwa klabu.

“Nimeandika barua ya kujiuzulu kutokana na jinsi mambo yanavyokwenda, sikufurahishwa nayo. Nimeamua kujiuzulu na tayari nimekabidhi barua kwa uongozi wa Yanga, kama watapitisha nahitaji wanikamilishie stahiki zangu,” Van Pluijm amenukuliwa na chanzo cha habari hii.

Wakati huohuo, mzambia George Lwandamina amesema hajasaini mkataba wowote na Yanga ingawa amekiri Yanga inamuhitaji.

Amesema kwamba, kama watakubaliana yupo tayari kuja na kuipa Yanga mafanikio zaidi.
-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Tags

Post a Comment

1 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Natabiri-----na Mkwasa ataandika barua ya kujiuzulu kuitumikia timu ya taifa,na nitamuunga mkono@sipendagi ujinga wa kumuacha Mkwasa bila mshahara miezi kadhaaaaaaaaaaa.JIPUUUUUUUUUUUUUUUUU

    ReplyDelete

Top Post Ad