Mahakama Yamfutia Shtaka la Unyang’anyi wa Kutumia Silaha Scorpion

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Mahakama ya Wilaya Ilala jijini Dar es Salaam leo imemfutia shtaka la  unyang’anyi wa kutumia silaha, Salum Njwete maarufu kwa jina la Scorpion baada ya upande wa mashtaka kuomba shtaka hilo liondolewe mahakamani hapo kwa sababu hawana nia ya kuendelea na kesi hiyo.

Mtuhumiwa huyo ambaye ni mkazi wa Buguruni kwa Mnyamani anatuhumiwa kumchoma visu na kisha kumtoboa macho, Said Ally mkazi wa Mabibo Hostel hivi karibuni.
-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Tags

Post a Comment

4 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Waandishi wa habari wapuuzi wasiojua kitu mnajazana katika ofisi zenu ku-pass time tu eti nafanya kazi kama muandishi wa habari giza tupu kudadeki

    ReplyDelete
  2. Udaku tu ndio wanaweza hawana jipya

    ReplyDelete
  3. Yaani huyo mtu kaachiwa?

    ReplyDelete
  4. NI BORA MUACHE KUANDIKA HABARI ZA UWONGO NYINYI UDAKUSPECIALLY

    ReplyDelete

Top Post Ad