Muonekano wa Shilole Red Capet ya MTV Awards Wazua Gumzo Mitandaoni...

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Mrembo Shilole aka Shishi Baby amezua gumzo mitandaoni kwa vazi alilovaa kwenye red kapeti ya MTV Mama Awards zilizofanyika jumamosi iliyopita...

Baada ya kutupia hiyo picha kwenye page yake hivi ndivyo watu walivyofunguka...

suzan.ndama
Kikwell mim huyu dada toka kaanzakufahamika sana cjawah kupendezewa na mavaz yake

sofia_omary78 
Kajifanya mjuaji kaharibu sasa ivyo ndo nini seemu yenye heshima Zake watu na misuti yao wewe unatuvalia kibkita kama uko kwenye singeli anawezekana hii safari ya kushitukiza hajajipanga igweeeeeee

-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Tags

Post a Comment

6 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. akina Beyonce wanaimba na vichupi kwenye Grammy Awards halafu nyie mnalalamika eti Shilole kaenda na kaprtura ngoja niwakumbushe hii ni miaka ya 2016 so acheni ushamba wabongo mbona mko nyuma saana

    ReplyDelete
  2. Tatizo la hapa kwetu mastar hawana watu maalum wakuwashauri wanapotaka kwenda kwenye presentetion tofauti na chi zilizoendelea

    ReplyDelete
  3. siyo Beyonce tu anaimba na vichupi kwenye Grammy Awards na Lady Gaga anaimbaga na vichupi

    ReplyDelete
  4. AKIVAA CHUPI PIA MUTALALAMIKA ,MWACHENI AENDE HATA NA KANGA KIUNONI.MWILI WAKE AMEAMUA

    ReplyDelete
  5. SEMA UTAFIKIRI ANATOKA KUCHEZA TENNIS

    ReplyDelete
  6. So stupid&ss yy alikuwa anaimba? Red capet,kachemuka!!😆😆😆

    ReplyDelete

Top Post Ad