Stori Mpya Kuhusu Sababu ya Scorpion Kumtoboa Mtu Macho

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Makala hii imeanza kuzunguka katika mitandao mbalimbali ya kijamii leo asubuhi ikielezwa kutoka kwa mkazi wa Buguruni anayesema anakifahamu vyema kisa cha Scorpion kumtoaboa macho mkazi wa Dar es Salaam aliyefahamika kwa jina la Said Ally.

Katika habari zilizotolewa na mhanga, alisema kuwa alikuwa akitokea kazini kuelekea nyumbani na alipokuwa akinunua mahitaji yake ya nyumbani eneo la Buguruni, ndipo alivamiwa na mtu huyu anayefahamika kama Scorpion na kumfanyia ukatili huo.

Hii hapa chini ndiyo stori mpya inayoeleza kwa upande mwingine sababu za tukio hilo.

Inaelekea wanaume wa mkoani hawamjui scorpion. Halafu sisi watu wa Buguruni tunamjua huyo Saidi na shughuli zake, na pia tunajua shighuli za Scorpion ndio maana watu hata hawakuhangaika nao.

Watu waliwaacha wamalize mambo yao.

Tunaangalia tu watu wanavyo shadadia mambo wasiyoyajua kwa undani wakipiga kelele dunia nzima ikiwa ni pamoja na mkuu wa kaya ya Jiji.

Scorpion ni mtu aliyeamua kujichukulia sheria mkononi kwa kuwa uwezo huo anao.
Kwa maana ya uwezo wa kupambana na mtu yoyote ambae ni mtukutu. Anapiga kareti kama za kwenye kideo na physic yake sio ya wanaume hata 2 wa kawaida. He is a man na nyongeza.

Kwa kifupi ni kwamba Buguruni kuna watu watanashati na wanashughuli zao za maana lakini wanamiliki mitandao ya vibaka ambao hupora na kuwaletea mizigo wanayopora.

Na hiyo ndio wanapopatia hela zao nyingi.

Hujawahi kujiuliza Tv, radio, vipochi, simu na vitu vingine kama hivyo vikiibiwa huwa vinaenda wapi?

Wale waibaji huenda na kumkabidhi mtu halafu wanapewa hela flani ndogo(ya kula).
Yeye huvitakatisha vile vitu kwa kuviuza kupitia legitimate channels kwa yeye hubaki kuwa mtu legit.

Scorpion alikua ametangaza kiama kwa vibaka pale Buguruni. Na alikua anawashughulikia kweli. Hivyo he was posing a danger kwenye biashara za watu.
Wakati vibaka wakindelea kushughulikiwa na hali ikionekana imeanza kuwa swari, yani vibaki waliosalia wanahamia kambi nyingine kama vingunguti, gomz etc.
Ndugu wa kike wa mpiga kareti (rafiki wa scorpion) akaporwa pochi iliyokua na simu maeneo ya Buguruni sheli.

Scorpion akaamua kumsaka muhusika na hakufanikiwa kumtambua. Akaamua kutuma ujumbe kwa mkuu wao ambae ndie mhanga wa macho, kuwa anataka arejeshewe mali iliyoporwa.

Kama kawaida ya wapanga misheni mkuu akapiga kimya.

So Scorpion akaamua kudeal nae, the boss himself ndio akamfuata alipomkuta and the rest of the story baada ya kumfuata face to face mtakua mmeipata kwenye media.

Sasa nyie mpeni mamilioni na assets bosi wa wahalifu kisa mnamhurumia wakati hamumjui.

Ndio maana watu hawakutaka kuingilia kesi wakati jamaa anasurubiwa. Sie wa buguruni tunaelewa.

Mtu hakurupuki tu kumtoboa toboa mtu asiyemjua.

-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Tags

Post a Comment

16 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Mbwa pumbavu huna hurumawewe bosi wa wahalifu nani said???muhanga wa tukio hv kweli kama ni bosi wa wahalifu leta ushahidi wake wewe mbwa wewe mjaa laana kafiri majnun shetwani kama unasoma hii koment wewe...ni makuuuuuu tu...

    ReplyDelete
  2. Dah huyu scopion ana mtandao mkubwa sana watu wanaangaika kumsafisha. Yani na huyu anatakiwa akamatwe kwani inaonyesha wazi ni kundi moja na scopion. Majambazi wakubwa mmemtoa mtoto wa watu macho Mungu akupe uvumilivu saidi usisikilize maneno yaliyopangwa na wauwaji.

    ReplyDelete
  3. Dah huyu scopion ana mtandao mkubwa sana watu wanaangaika kumsafisha. Yani na huyu anatakiwa akamatwe kwani inaonyesha wazi ni kundi moja na scopion. Majambazi wakubwa mmemtoa mtoto wa watu macho Mungu akupe uvumilivu saidi usisikilize maneno yaliyopangwa na wauwaji.

    ReplyDelete
  4. Shwaini wewe,bila shaka wewe ni mwenza wa scopion,wivu umekujaa kuona kijana anachangiwa.Tunajua A-Z za huyo scopion wala huna haja ya kuleta hili gazeti huku.Ataishi japo mmemtia upofu,na Mungu awatalaani.

    ReplyDelete
  5. huyu scorpion ki ukweli alifanya nikose hamu ya kula na kujikuta natokwa machozi siku nzima jangiri huyu.......na mazoezi alofanya alishindwa kumdhibiti kwa mikono yake mpaka atumie kisu. Mimi hata sasa hv wakisema scorpion achinjwe kama kuku waniletee shingo yake walahi nitapiga bismilahi namfeka mshenzi huyo..........hakuna mwenye mamlaka ya kujichukulia sheria mikononi kwa kiwango hicho alichofanya

    ReplyDelete
  6. Dah sisi wabongo kiboko kupita kiasi cha malaika mtoa roho yaani mtu anakosa aibu kutetea jambazi kweli Magu kazi anayo inatia huruma

    ReplyDelete
  7. halafu mleta habari umeandika kama unakimbilia gari moshi isikuache huna la maana kakojoe ulale mapema

    ReplyDelete
  8. Jamani tuangalie upande wa pili wa shilingi hili tukio liko kama aina ya cinema huyu mtu ananguvu za kutosha has kumpiga au kumuua bila ya kumtoboa macho na pale pali kuwa na wafanya biashara wanaangalia tuu huyu akua nabii kiasi cha watu zaidi ya Mia kushindwa kumtetea wakati wakijua ni mteja wao hii ilipangwa mpaka Yule dereva wa bajaji aliekosea kumshusha sehemu husika, simtetei aliepigwa wala aliepiga, na ndio maana ukiangali haraka tuu huyu mtoa macho anaonekana kujiamini ana ya moyoni

    ReplyDelete
    Replies
    1. Ni mtu mwenye nguvu za ajabu,anatumia nguvu za giza,
      Huwezi amani watu tunamuogopa hata polisi walikuwa wanamuogopa.
      Bado ana makosa sana,kwani hata kama kungekuwa na tatizo na said kwanini amtoboe macho?Hafai kwa jamii,akafie tu jela.

      Delete
  9. Elewa Kabla hata Mkuu kuchukua uamuzi wa kuruhusu muhanga asaidiwe tayari upelezi na ushahidi wa mbichi na mbivu na tena hali ya juu umefanyika.Wivu unakusumbua shetani wewe.

    ReplyDelete
  10. Scorpion ni liuaji likanyongwe jela, Saidi sisi watanzania tutakusaidia, sababu hatusikilizi watu wanaomtetea hilo shetani na lichawi Scorpion. Saidi sisi watanzania tuko upande wako kaka tena pole sana kwa yaliyokutokea,tunakuombea kwa Mwenyezi Mungu Said

    ReplyDelete
  11. WEE ULIETOA HIZI HABARI MUNGU ANAKUONA ACHA UONGO, HATA KAMA ALICHUKUWA HIYO SIMU YA NDUGU YAKE NDIO AMTOBOE MACHO NA KUMBURUZA BARABARANI ILI AGONGWE AFE? PIA MBONA ALICHUKUWA PESA ZAKE KWANI HAZIKUTOSHA MPAKA ANTOE MACHO BINADAMU MWENZIE?

    ReplyDelete
  12. mshenzi mkubwa hana adabu tena filauni mkubwa, unamsafisha ili iweje??? au kwa kuwa alikuwa anakululetea anachoiba, mjinga mkubwa wewe mmeona anaanza kuoata misaada halafu mlaleta ufilauni wenu hapa!!! tutaendelea kumchangia Said

    ReplyDelete
  13. Mungu ndiye ajuaye ukweli wrote hivyo yeye atalipa kisasi kwa wakati wake

    ReplyDelete
  14. NA HATA KAMA KWELI ALIKUWA ANATEMBEA NA MKE WA MTU NDIO APATE ADHABU KAMA HIYO KALI YA MAISHA, BASI BORA TU ANGEMUUWA NA BASTORA KULIKO KUMFANYA MWENZIE ATESEKE NA GIZA LA MAISHA. NAOMBA KUULIZA, KATIKA MAHUSIANO YA MAPENZI KATI YA MKE WA MTU NA JAMAA MWINGINA NI NANI ANA MAKOSA? MI NAONA ANA MAKOSA MWANAMKE (MKE WA MTU) SABABU HUENDA MWANAMKE NI MALAYA TU ANAUZA NDIO TABIA YAKE SASA HUYO MUMEWE ATAUA WATU WANGAPI? MAMBO MENGINE NI UPUUZI TU. BAADHI YA WAKE ZA WATU NI MALAYA WANAUZA TU.

    ReplyDelete
  15. Huyo Said alikwenda kutafuta nini Buguruni mida mibovu? Chips mbona hata Tabata zipo, au kununua madada poa Kimboka? Ajieleze vizuri Kwa Makonda na Shemeji 😕Kwa mtazamo wangu Scorpion hana njaa za kumtoboa MTU macho, kesi atashinda ustadh

    ReplyDelete

Top Post Ad