AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA
Longa nasi msaani wetu Ney wa mitego, nini kimekukuta? Au ulikuwa kanjanjaa bro ukatulisha matango poli..!?
Nimemis ili ngoma, ITAFAHAMIKA TU.. au unasoma game uje kama KING GK?
Maisha mema brooo, mwenzio nimeshakuwa mganga wa kienyeji. Naamka na kaniki, naenda kwenye kijumba cha kazi aka Msonge.. naagiza kuku na mbuzi kwa sana, siagizi tembele..
NAFASI ZA AJIRA
JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA
GOODLUCK
Duh!!! Kaaaaziiii kwelikweli!!!
ReplyDeleteHahahaha ama kweli, mganga haagizi tembele tehetehe umewini bro!
ReplyDelete