google-site-verification: googleb0bc30c3e5fdb812.html Wema Sepetu a.k.a Tanzania Sweatheart Kuolewa Hivi Karibuni | UDAKU SPECIAL

Wema Sepetu a.k.a Tanzania Sweatheart Kuolewa Hivi Karibuni

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Kwa taarifa nilizozinyaka hivi karibuni hukooo Instagram ni kuwa kipenzi cha wengi ( najua wengi mtabisha) si mwingine mrembo wetu Miss TZ 2006 na CEO wa kampuni ya ENDLESS FAME the one & only WEMA ABRAHAM ISAC SEPETU anaolewa hivi karibuni na model anaekuja kwa spidi ya 4G CALISAH ABDULHAMID.

Though hawaja comfirm wenyewe kuhusiana na habari hii ila nimejiongeza tu mwenyewe baada ya kuzinyaka picha hizi...

-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

3 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Kweli hapo umejiongeza tu kwenye we

    ReplyDelete
  2. Watu wanapenda scandaly
    Aolewa na Slim basi

    ReplyDelete
  3. BORA AOLEWE KAMA KWELI.AMETUKANWA VYAKUTOSHA.

    ReplyDelete

Top Post Ad