CHRISTIAN Bella Amfagialia Diamond...Adai Kubali Ukatae Jamaa Anatengeneza Mziki Mzuri

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

“Kwanini Diamond anapendwa? Diamond hapendwi si sababu ya kubeba vyuma tu, unaweza ukabeba vyuma na usipendwe vilevile. Angalia muziki wa Diamond kwanini unapendwa. Diamond anapendwa si kwaajili ya skendo kwasababu zile skendo pia huwa zinamuumizaga. Jamaa anatengeneza muziki mzuri, kubali ukatae,” alisema Bella kwenye mahojiano na Lake FM ya Mwanza.

“Mimi napenda anayefanya vizuri. Mimi kila nikitaka kutoa ngoma lazima napima ngoma ya Diamond, nitaangalia anaimba nini, kwanini watu wanampenda? Naangalia Alikiba, kwanini watu wanampenda, kaimba nini, naanza kupima ngoma zao. Halafu mimi natafuta, sio niimbe kama Diamond, sio nifanye kama Alikiba, natafuta njia pale katikati. Ukitaka baraka wakubali kwanza wanaokubalika,” alisisitiza Christian Bella
-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

3 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. well said C.Bella.diamond ni simbaaaaa anatisha kwasasa africa.

    ReplyDelete
  2. thank you c.bella you are modest person

    ReplyDelete

Top Post Ad