DIAMOND na Zari Wamtamanisha Vera Sidika Kupata Mtoto

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Kuna uwezekano mkubwa hamu ya Vera Sidika kutamani mtoto imekuja baada ya kumuona mtoto wa pili wa Zari aliyejifungua Jumanne hii.

Kupitia mtandao wa Instagram, mrembo huyo wa Kenya ameandika ujumbe wa kumpongeza Zari na kuongeza kuwa inawezekana yeye ndio akafuata.

“Congratulations on your bundle of Joy @zarithebossladyHappy For you doll 🎊😍❤️You just raised my baby fever from 50 to 100 😩 sigh!!! Maybe I’m Next 🤔,” ameandika Vera kwenye mtandao huo.
-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

2 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Huyu demu naye michosho mitupu.Umalaya amwachie nani na huyo mtoto ampate saa ngapi.Huyo aendeleee tu na Umalaya wake kwa sababu hata muda wa kulea mtoto hatakuwa nao.

    ReplyDelete
  2. hapo mdau hapo juu umenena na mimi nilitaka kuandika hivyo hivyo

    ReplyDelete

Top Post Ad