Godbless Lema Anyimwa Dhamana Kwa Mara Nyingine Tena

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA


Mahakama Kuu Kanda ya Arusha imemnyima dhamana Mbunge wa Arusha Mjini (CHADEMA) Godbless Lema. Mahakama hiyo imeeleza kuwa mawakili wamtuhumiwa huyo walipaswa kuonesha kusudio la kukata rufaa ndani ya siku10 kabla ya kukata rufaa.

Hii ni mara ya tano mbunge huyo anakosa dhamana mahakamani tangu alipokamatwa Novemba 3 mwaka huu akiwa mjini Dodoma na kusafirishwa hadi Arusha katika kesi ya uchochezi inayomkabili.

Katika kesi ya msingi lema anatuhumiwa kutoa maneno ya kichochezi dhidi ya Rais Magufuli kwa madai kuwa Mungu ndiye aliyemwambia maneno hayo wakati akiwa anaomba.
-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Tags

Post a Comment

8 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Mungu azungumze na Lema! Jamani si amechanganyikiwa Dogo!! Na anakula bure na Kulala Bure!! Kumbukeni nguvu kazi.. Hapa ni Kazi Tu.

    ReplyDelete
  2. Mungu azungumze na Lema! Jamani si amechanganyikiwa Dogo!! Na anakula bure na Kulala Bure!! Kumbukeni nguvu kazi.. Hapa ni Kazi Tu.

    ReplyDelete
  3. Lema Hii BIASHARA HAIKUFAI. FUNGUA GENGE LA KUUZA MTORI.. WATEJA TUPO WENGI. UKIWA NA KIWANGO AMINI TUTAKUJA KUKUUNGISHA UENDELEZE MAISHA YAKO KIHALALI ... SIASA UCHWARA HUNA MBINU NAZO.. ZIMEKUPIGA CHENGA CHALI.... HAPA KAZI TU

    ReplyDelete
  4. Sifshsmu wapi tunakwenda.angslieni sana. Siasa kama hizi zinapasua nchi zaidi. Kuna mambo mengi ysmetokea tanzania mabsys zaidi ya haya na kuiingiza nchi hii mwenyr umaskini mkubwa kupitia ccm na wahusika wamuu eamo huru na madsrakani trna ndani ya ccm. Hsileti picha. Muna vigogo wa ccm eametukana watanzania hadharani zaidi ya mara moja wapo huru.kuna mawaziri ealihusishwa na meno ya tembo, madawa, wapo huru. Kumkosoa raisi nhi zote duniani zinafanys hivyo.lamini kuwaadhibu wapinzani au kuwakomoa bdala ya kufuata sheria mnspasua nvhi badala ya muunganisha watu. Si Lema pekee kama muonavyo wengi.

    ReplyDelete
  5. Nafikiri cha zaidi angefungwa hata kwa miezi sita ili na ubunge pia aukose jeuri sana
    Siasa siyo kutukana watu kwani waliomchagua kuwa mbunge sidhani kama wataka wawakilishwe kwa kutukana watu

    ReplyDelete
  6. Fyu
    Ila Makonda alipo yeye na mungu yupo
    Hata mfanyeje Arusha ni Lema tuu
    Subirini 2020

    ReplyDelete
    Replies
    1. Wewe unaonesha ni mkereketwa uko Hai? wa wapi wewe?

      Delete

Top Post Ad