HATIMAYE Rolls Royce la Diamond Liko Njiani Kuja Tanzania.....

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

The Rolls Royce musician from east africa aka diamond hatimaye amekamilisha ndoto zake za siku nyingi baada ya order yake ya gari aina ya rolls royce kukamilia na gari hilo liko njiani kuwasili mikononi mwake punde... Gari hilo aina ya rolls royce Drop Head coupe 6.7 litre V-12 ambalo limeagizwa kupitia kampuni ya Newline Luxury Motors ambalo order yake ina waiting time ya six months kuanzia unapolipia hadi litengenezwe hadi likufikie mteja..

-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

4 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Anakuja kutembelea nalo kwenye hz barabara zetu za madalee jamn mbona analidhalilisha gari...na likiharibik spare zake pia zinapatikana hapa eeh...mi nadhan hata niwe tajir vip kuna vitu sitataka...ila nyumba nzur naxitakaaa hata zifike mia4

    ReplyDelete
  2. Hongera Dimondi. Kwa TZ. Nadhani katika miaka ya Karibuni ni wewe pekee uliyetoa Oda ya Gari kama Hii... At least Nchi yetu pia itakuwa na record katika shirika la RR kitengo cha uzalishaji Magari. Hongera sana. Kumbuka malipo yake TRA na Ushuru wake. Vyote Ni Muhimu na lazima.

    ReplyDelete
  3. Hongera Dimondi. Kwa TZ. Nadhani katika miaka ya Karibuni ni wewe pekee uliyetoa Oda ya Gari kama Hii... At least Nchi yetu pia itakuwa na record katika shirika la RR kitengo cha uzalishaji Magari. Hongera sana. Kumbuka malipo yake TRA na Ushuru wake. Vyote Ni Muhimu na lazima.

    ReplyDelete
  4. hivi hamjaona hilo gari jinsi lilivyochoka siyo jipya na kwa nini hao waliotuma walisifie namna hiyo kama hawajatumwa? hilo gari limechoka sana la zamani na bei yake haina tofauti na magari ya huko bongo hapa majuu magari kama hayo yapo yaliyochoka kama hilo la Mond hamna mtu hapa anataka kuendesha magari ya zamani ndiyo maana yanatumwa kwenye nchi maskini

    ReplyDelete

Top Post Ad