IRENE Uwoya Aachana na Bongo Movie, Asema Haiuzi Tena Siku Hizi

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Msanii Irene Uwoya amesema sasa hivi haigizi tena movie kwa kuwa soko lake limedoda na badala yake atakuwa anacheza series kwani ndio zinazouza
Ila amedai kuna movie walizocheza zamani zinakuwa processed zitatoka:
-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

3 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Yote hayo wameyasababisha wenyewe, kuiga mambo ya kizingu, kutukalia uchi, ndio kumesababisha yote hayo, mngefuata utamaduni wetu labda mngekuwa bado mnauza. Mlizani Watanzania ni wajinga watapoteza pesa zao kununua movie za uchi wakati mnajua kabisa kuwa Jamii yetu tunaishi na ndugu, wazazi n.k.

    ReplyDelete
  2. Waliiga kunya kwa tembo hata huku hao mstaaa wenye majina hawategemei kazi moja
    Sembuse nyinyi vistaa
    Wengi mlitegemea wanaume wasio lipa kodi biashara zao
    Magu kawakomesha
    Pamoja na kumpigia kampeni
    Na Magu hataki vichangu
    Janet anamtosha nendeni shule

    ReplyDelete
  3. du mtoto wake kafanana sana na JB

    ReplyDelete

Top Post Ad