AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA
Akizungumza na TBC, Mhifahi Mkuu wa Mamlaka hiyo, Dkt Fedrick Manonge amesema japo amepewa muda mfupi sana wa kuwasilisha taarifa hizo lakini wanajitahidi kuzikamilisha.
“Kwahiyo yeye alimuagiza waziri wa maliasili ni anataka nyaraka husika na anataka maelezo ya kilichotokea. Kwahiyo kwasababu inakuwa ngumu sana kusema details zingine kwasababu ilisemwa na nyie mlisikia hakukuwa na information za kumridhisha mheshimiwa waziri mkuu ndiyo maana akatoa hayo maelekezo. Kwahiyo mi nadhani kimsingi nikusubiri matokeo ya huo uchunguzi ambao kwa kweli ametoa siku chache sana, serikali ya awamu ya tano haina vificho eeh itaonekana wazi kilichotokea,” alisema Manonge.
Hivi karibuni waziri mkuu akiwa katika ziara ya kiserikali mjini Arusha alitaka kupata nyaraka za kumhamisha Faru John katika hifadhi hiyo.
NAFASI ZA AJIRA
JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA
GOODLUCK
Wasiachiwe hao wanataka wapewe muda ili wazifoji nyaraka ikiwa kweli jyaraka zipo hata dakika 1 nyingi kushindwa kuwakilishwa mupewe muda wa nini wapumbavu wakubwa mnacheza sanaaaa sasa mtaisoma kama majaliwa au magufuli
ReplyDelete