PICHA: Machinga Waanza Kurudisha Vibanda Vyao Makoroboi Mwanza

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA


Jana Rais wa Tanzania John Pombe Magufuli alitoa agizo kwa watendaji wa Mkoa wa Mwanza kusitisha mara moja zoezi la kuwaondoa wafanyabiashara wadogo Machinga katikati ya mji.


 Baada ya agizo la Rais tayari kwenye eneo la Makoroboi Mwanza machinga wameanza ujenzi wa vibanda kwenye maeneo yao ya biashara
-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

3 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Kwa kweli Akili ndogo jumlisha na ya kwako. Rais amesema wafanye biashara zao pale mjini lakini wasijenge vibanda kwani kujenga vibanda maeneo ya mjini ni uchafuzi wa mazingira. Ni akina nani hao wanaotakiwa kuyasimamia na kuyatekeleza maagizo ya Mheshimiwa Rais??????.......Kwa kweli ni kama wamezira na kazi.......tumbua kuleeeeeeee......

    ReplyDelete
  2. Je ni kweli yule Lawrence Mafuru wa Hazina ametumbuliwa?........Mbona ni kazi lol.......watueleze zile interest zilizotokana na zile fixed deposit walizipeleka wapi.

    ReplyDelete
  3. Wasijenge vibanda mvua ikinyesha je

    ReplyDelete

Top Post Ad