RAYVANNY Amshukuru Mungu Kwa Kumkutanisha na Diamond...Adai Mpaka Nguo Anazofanyia Video ni za Diamond

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA


Ray Vanny Ameandika Haya Kupitia Ukurasa wake wa Instagram:

Rayvanny - Kwenye Video ya #KWETU Nguo zote Ulinipa wewe!!! #MUGACHERERE Nguo zote ulinipa zako... kiukweli Nimepata tabu nyingi Sana Kwenye Mziki wangu Lakini Niliamini Ipo Siku Namimi Nitaonekana.Nashukuru Mungu Sana Kunikutanisha nawewe Brother Naseeb Asante kwa Moyo Wako wa Upendo Kwangu Ulithamini kwa kidogo nilichonacho Nakuamini Nitaweza kufanya.Safari Bado Ndefu Tutafika Tunapotaka!!!
-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

3 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Wewe ukisema hivi Harmonise atasemaje? Kuweni na umoja wa kukubali kwamba kila mmoja wenu anamchango wake WBC. na Sallam ni kiongozi Mzuri mwenye kujali Masilahi yenu wote ...NGUVU KAZI. USIPOJITUMA HAUENDI MBELE..

    ReplyDelete
  2. Wewe ukisema hivi Harmonise atasemaje? Kuweni na umoja wa kukubali kwamba kila mmoja wenu anamchango wake WBC. na Sallam ni kiongozi Mzuri mwenye kujali Masilahi yenu wote ...NGUVU KAZI. USIPOJITUMA HAUENDI MBELE..

    ReplyDelete
  3. Na huyu nae kila siku kumshukuru Diamond umeshasema mara nyingi na tumekuelewa yatosha sasa

    ReplyDelete

Top Post Ad