UFAFANUZI wa Ben Pol Kuhusu Kudaiwa Kuwa Mapenzini na Snura

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Kama unakumbuka moja ya tukio kwenye tour ya Fiesta 2016 ambalo lilimake headlines ni pamoja na ishu ya Benpol na Snura kudaiwa kuwa mapenzini na Snura aliwahi kukiri kuwa kweli yuko mapenzini na Ben Pol ambapo alizungumza maneno haya……..

’Ben Pol Dodoma ni nyumbani kwao na mimi ni ukweni ndio maana alichukuwa nafasi hiyo ya kunitambulisha kwa ndugu zake na familia, Ben Pol alinipandisha kwenye stage kunitambulisha ndio ikatokea kitu kama kile sio kwamba tulifanya show pamoja mimi na yeye hapana …’ – Snura
Ben Pol ambaye ametoa ufafanuzi kuhusu ishu nzima ilivyokuwa ….
‘Unajua ile ilikuwa arts tulitengeneza tu sanaa fulani ya stage na haikuwa skendo wala haikuwa kiki, kuhusu kumtambulisha Dodoma, hapana wazazi wangu wenyewe hawapo Dodoma wako Dar es salaam’ – Ben Pol
-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

1 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. mmmmh ben pol acha hizo mgogo mwenzangu zikuharibi bure unajua napenda sana unavyojiheshimu achana na mambo ambayo hayana faida yyt kwako huyo snura nae aliambulishwa wapi huijui mvumi wala mpunguzi eti dodoma ni ukweni poleeeeeeeeeeeeeeee utapasikia tu

    ReplyDelete

Top Post Ad