VIDEO: Watoto wa Mbunge Lema walivyoshuhudia Baba yao akirudishwa rumande

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Mbunge wa Arusha mjini Godbless Lema amekosa tena dhamana leo December 2 2016 na kurudishwa rumande kwenye kesi inayomkabili ya kutoa maneno ya uchochezi kwa viongozi wa nchi akiwemo Rais.

Miongoni mwa waliokuwepo Mahakamani ni familia yake Mke na Watoto ambao walimpungia wakati akiondoka Mahakamani hapo, unaweza kutazama hii video fupi hapa chini…
-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

4 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Kwanza nashangaaa ni kwa nini apewe hiyo Royal Treatment kana kwamba yeye ni mtu maarufu saaaaanaaaa. Huyo alitakiwa aingizwe kwenye Karandinga na kuchanganywa na wafungwa wengine.

    ReplyDelete
    Replies
    1. Sanaa mdau. Wasituharibie nchi na siasa zao uchwala zisizo na mbele wala nyuma, yote hii ni kujitafutia umarufu wa vijisiasa uchwala. Raisi anachapa kazi. Na wengine wanadhani ndio muda muafaka wa kujulikana. Nope ataishia hivyo hivyo, ajulikane kwa lipi. Michoshoo.? Apeleke huko michosho yake

      Delete
  2. Huyo anatakiwa achapiwe Mke wake ili akitoka huko gerezani mwakani ndio aje aleee mimba ambayo sio ya kwake ndio atapata akili.....

    ReplyDelete
  3. ha ha haaaaa utaunya unya mwaka huu

    ReplyDelete

Top Post Ad