VIDEO ya Eric Omondi yamtoa povu Barakah The Prince

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Baada ya Eric Omondi kuachia video ya parody ya wimbo wa ‘Kuliko Jana’ wa Sauti Sol, msanii wa Bongo Fleva Barakah The Prince amemjia juu mchekeshaji huyo.

Hitmaker huyo wa Nisamehe ameonyeshwa kuchukizwa na baadhi ya vipande vya kwenye video hiyo na kuamua kuweka wazi kupitia mtandao wa Instagram.

Kupitia mtandao huo, Barakah ameandika:

Ukiona unakosa cha kuchekesha watu bora utafute kazi nyingine ya kufanya kuliko alichofanya huyu sijui ndio anaitwa nan…kawakosea sana watu wote wenye imani ya kikristo…tafuta kazi nyingine… maana vichekesho nahisi umefikia mwisho…huyu jamaaa kafanya asubuhi yangu kuwa mbaya sana..shukuru wakristo ni wapole..ukifanya kitu ichi kwa Muslim..ungefanywa mfano..
VIDEO:
-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Tags

Post a Comment

4 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. du ni wa dini au bongo flavor manake sijaelewa

    ReplyDelete
  2. Yeye hajaigiza kama Yesu jamn ameigiza kama wale ambao mmoja wao alisulubiwa na Yesu na akaambiwa umesamehewa na leo utakuwa nami peponi....sasa kosa liko wapi hapo.....watu wanapovuka bila hata kuelewa..

    ReplyDelete
  3. Mi kinachonishinda kwa huyu jamaa ni kwamba kaacha kuwa original anatumia kazi za wenzake. Nao anaowaigilizia wamekaa kimya.. wanalipwa? Omondi a small frail boy anawashinda nini? Please tell him off. Atoe vichekesho vyake sasa sio kudandia kazi za wenzie. Steve Nyerere pia alimstukia.

    ReplyDelete
  4. Hata kama anaigilizia yule mwizi aliesamehewa unafikiri kwa watu wengine hatuna haja ya kufikiri zaidi ; anatakiwa aache usanii huo maana anagusa imani za watu. Tafakuri tofauti.

    ReplyDelete

Top Post Ad