BAADA ya Wema Sepetu Kushambuliwa na Mashabiki wa Zari Kuwa Hazai, Aamua Kujibu Mapigo

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Baada ya mwanadada Zari the boss lady kujifungua mtoto wa pili "Riaz junior"

Baadhi ya mashabiki walikuwa wakiingia kwenye page ya instagram ya Wema Sepetu wakimtolea maneno makali kuwa aendelee kupost picha za watoto wa watu wakati wenzake wanazaa.

Baada ya mwanadada Wema Sepetu kukosa uvumilivu, aliamua na yeye kujibu mapigo usiku wa leo katika account yake ya instagram.


-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

8 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Alie mpa yeye ndie alie kukosesha wewe kwa hivo wasikutie shughuli famya yako wacheni marimbukeni mbona hata paka anazaa cha ajabu kipi achana nao hao kuzaa kuzaa ndio nini sasa wakafunge ndoa sio kuzaa kama hayawani

    ReplyDelete
  2. Wema na wewe zaa na Calisah . Hahahahaha

    ReplyDelete
  3. wema ulichezea bahati

    ReplyDelete
  4. Wema hataki kuzaa sababu anajijua ana ngoma mtu ukiwa na ngoma hutaki kuzaa sababu unaogopa kugunduliwa kuwa siri itatoka nje, Wema katembea na mabwana kibao

    ReplyDelete
    Replies
    1. ana ngoma ulimpima ww jamani mbona hivyo hebu mpunguzieni mwenzenu looo nani msafidunia hii sote tuna mapugufu yetu

      Delete
  5. ucjal wema mungu yupo mnaomtukana wema mnamtukana mungu kwasababu mungu ndo aliyemjalia hivyo ni sawa sawa nakumcheka mtu mewnye ulemavu wwt sasa ukimcheka mlemavu c unamcheka mungu jamani sio vizuri na katika dunia hi mungu hawezi kukupa vyote unaweza ukawa na watt au ndo lakini ukawa huna furaha navyo mbona binadamu tumekosa ustaarabu halafu mnaosema azae kwani wema kesha olewa wengine tunazaa tu kwa zinaa halafu tunajisifia tuna watoto na tunawakejeli wenzetu waliokosa sio vzr jaman wema kuwa nasubra ipo ck samwel wako atazaliwa uwe na imani kuwa kupata na kukosa yote ni mipango ya mola

    ReplyDelete
  6. Eti Wema, na DNA ya Riaz jr unaitaka? Maana ya Tiffah uliitolea povu na mishipa ya mkorogo ikapasuka. Na hii je? uletewe au ? Shwain weee

    ReplyDelete
  7. kuzaa kwa nje ya ndoa wala isikutie wasi wasi, then isitoshe mtoto ni hidaya kutoka kwa ALLAH UWE UMERITADI au la! pia ni suala ambalo unamkosoa Allah yeye ndiye aliyempangia mtu rizki yake ikiwa mtoto au mahitaji. TUSIMKUFURU MUNGU lakuomba ni kupata mtoto mwenye kheri.

    ReplyDelete

Top Post Ad