YALIYOJIRI Mwanza Mjini: RC, DC na CD Wataweza Kukalia Ofisi zao na Kutoa Maamuzi na Kueleweka?

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

FM Radio zote za jijini Mwanza sasa hivi ni mjadala wa maamuzi ya Rais na zinawekwa Clip za matamko ya Mkuu wa mkoa, Mkuu wa wilaya Nyamagana na Mkurugenzi (CD) wa jiji kuhusu suala la wamachinga waliyotoa siku zilizopita kuhusu suala hilo na kuonekana kuwa walikuwa tofauti kabisa na hiki alichosema Rais.

Hata mbunge wa Nyamagana alipohojiwa amepata nafasi ya kuwaruka kabisa viongozi hao kiasi cha kuonyesha maamuzi yao yalikuwa yao pekee kwa nia ya kukomoa Wamachinga na mama ntilie.

Hii ni fedheha kubwa sana kwa wateule hao wa kisiasa na kiutendaji na wanakosa kabisa sifa ya kuendelea kuwaongoza watu wa Mwanza kwa siku zijazo kwani hawawezi tena kuwa na maamuzi ambayo yatakuwa yamesimama bila kudharauliwa.

Je, wataamua wenyewe kujiuzulu ili kulinda heshima zao au watataka waendelee kufanya kazi kama picha tuu? Maana kila anayehojiwa mtaani anawaponda na kuwadharau kuwa kazi imewashinda ndio maana aliyewateua kaamua kuifanya mwenyewe.
-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Tags

Post a Comment

4 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Tofauti kati ya rais John Pombe na marais wengine waliotangulia ni moja:Rais JPM anamuogopa Mungu na anafanya kazi kwa kumtegemea Mungu na kuwatetea wanyonge!! Mungu amlinde na ampe nguvu na hekima ya kuongoza taifa letu lenye viongozi wengi wasio jali maisha ya wengine. Mungu ailinde familia yote ya rais JPM. Mungu ibariki Tanzania na Afrika na USA nchi inayonipatia mkate wangu wa kila siku. JB Kalugira.

    ReplyDelete
  2. aaaaaaaaaaaaaameen

    ReplyDelete
  3. Siuungi mkono uamuzi wa Raisi.baona kaingilia madaraka ya mikoa n.a. wilaya.baona haja tena Raisi kuwateua wakuu wa mikoa ambao amewapa kazi n.a. akaibomoa tena.
    Pili so hadhi k uona kila kona machinga. Kila kazi zinamazingira yake.maji unskoss haki.wenyemaduka wsnakosewa haki.wstembea kwa mikuu wsnakosewa haki.mji unachsfuka. Madereva wanakosewa haki.hii ni aibu kubwa.sasa wakuu wa mikoa hawataheshimika. Raisi wetu aielewe mpaka ya kazi zake n.a. usafi, ustaarabu wa miji. Sheria za nchi haziruhusu wsmachinga wazagae kila kona. Hapa sitamuungs mkono hata.

    ReplyDelete
  4. Mi naona wangejiuzulu tuu maana wanacho kifanya unakuwa ni uonevu tuu. Pia nilitake jeshi la Polisi lisitumike vibaya. Hawa viongozi wanalitumia vibaya. Tulizoea uchaguzi ukiisha tu basi wamachinga thamani yao in apoteane, lakini safari hii uonevu umekwisha kwakuwa Rais na makamu wa Rais wameamua kufanya kazi kweli kweli.

    ReplyDelete

Top Post Ad