Diamond Kanyakua Tena Tuzo Nigeria, Usiulize ni Tuzo Gani Wewe Bofya Hapa!

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

MKALI wa Bongo Fleva, Diamond Platnumz ameshinda tena tuzo za Too Exclusive zinazotolewa nchini Nigeria katika kipengele cha Msanii Bora wa Mwaka 2016 ambacho hutolewa kwa msanii asiyekuwa wa nchi hiyo (Nigeria) ambaye anafanya vizuri kwa bara zima la Afrika..

Katika tuzo hizo, wengine waliokuwa wakiwania vipengele mbalimbali ni  Wizkid, Tekno na Tiwa Savage, Kiss Daniel, Simi na wengine kibao.
-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad