10 Jan 2017

Flora Mbasha: Naomba Mniache Mimi na Mbasha Tafadhali

Mwanamuziki wa Injili nchini, Flora Mbasha amesema kuwa watu wamuache na maisha yao kati yake na Mbasha kwani mapenzi ni kitu binafsi kati ya watu wawili na anaishi kama anavyotaka na sio kama watu wanavyotaka aishi

Amedai kuna watu wanajifanya wanamjua maisha yake kuliko yeye na kumbe sivyo, pia kwa sasa anataka afahamike kama Madam Flora na sio Flora Mbasha kwa kuwa kuna talaka ipo kwenye process 
Video:


Install Application ya Udaku Special Uweze Pata Habari Kirahisi Zaidi
=>BOFYA HAPA KUINSTALL/DOWNLOAD

Share:
Weka Maoni yako Hapa

4 comments:

 1. Emmanuel sijui alimpendea nini huyu mpaka akamuoa sababu mwanamke mwenyewe hapendezi hata kidogo na wala hana mvuto wowote sababu wako wanawake wazuri ambao wangemfaa Emmanuel sababu Emmanuel ni mzuri sana zaidi kuliko Flora ana sura mbaya, au Emmanueli alikuwa naye huyu sababu ya pesa tu na sio kitu kingine huo ndiyo ukweli

  ReplyDelete
 2. ni kweli kabisa husahili kuitwa flora mbasha!!!

  ReplyDelete
 3. hatuhitaji kusikia mambo yenu na wanaoandika ni kwwa sababu ndio kazi yao lakini kama si hivyo ujinga ho hatuhitaji. mbona mwanzo ulikuwa unakesha kwenye media kumpaka Mbasha sasa leo "mapenzi is about two people" katubu kwa MUNGU kwa yote ili ufanye kazi ya utukufu.

  ReplyDelete
 4. Leo ndio unajua kuwa mapenzi ni ya wawili? Aliyeileta hii soo kwenye media si ninyi wenyewe? Usione aibu kupatana na mumeo Flora. It will be a happy ending na somo zuri kwa wanaomcha Mungu.

  ReplyDelete

Total Pageviews


Popular Posts

Matangazo

Copyright © UDAKU SPECIAL | Powered by Blogger