5 Jan 2017

Hali si Shwari Wolper na Harmonize....Meseji Aliyopost Wolper Yaonyesha Wameachana


Jacline Wolper ame post hii halaf ghafla kafuta, hii maana yake nini wadau?
Jisomee alichoandika kupitia kwenye ukurasa wake wa Instagram:


Install Application ya Udaku Special Uweze Pata Habari Kirahisi Zaidi
=>BOFYA HAPA KUINSTALL/DOWNLOAD

Share:
Weka Maoni yako Hapa

13 comments:

 1. Mmmmh,Mapenzi SANAAAA,
  kila kitu cha msanii ni usaniiii.

  ReplyDelete
 2. Mahusiano ya wasanii hayadumu labda harmonize alikutumia kupata kili sasa amepata akaamua akuache au ulimtumia jamaa akachoka akaamua akuache

  ReplyDelete
 3. Wapo tofauti hao wawili huyo kijana kama mfungua geti wake

  ReplyDelete
 4. Hivi Wolper anajichubua au ni weupe wake?kama anajichubua naomba aniambie ni Cream gani anatumia na mimi nitumie mimi mwenyewe ni mweupe lakini nataka niwe mweupe kama wolper

  ReplyDelete
  Replies
  1. HIYO NI PICHA TU..HUJAMUONA LIVE

   Delete
  2. kumbe ni weupe kwenye picha tu, sijawahi kumuona live

   Delete
  3. ajichubui mixer ya kizungu na kichagga hiyo

   Delete
 5. so these guys sing what happens in their lives....

  ReplyDelete
 6. Wolper ni geti la wana bongoflava kupitia ili wapate umaarufu. Harmonize alimwuliza diamond ni demu gani aliyeachana naye ambaye anadhani ndire aliyemfungulia mlango wa umaarufu, Diamond akajibu kuwa ni Wolper. Kumbuka kuwa Diamond naye alipiga gia kubwa kwa Wolper baada ya kuwa ameachwa na Alikiba kipindi hicho, akatumia sehemu kubwa sana ya laki tatu zake za kwanza kupata alipotoka Tanga kwa kumhonga Wolper pale Magomeni gesti, halafu baada ya kulamba mara moja tu akatoweka mpaka leo.

  ReplyDelete
  Replies
  1. Wolper anajirahisisha sana. Nilikuwa namuona Gensta sana kumbe Boya. Mbona Uwoya katulia hana mambo hizo?

   Delete


Popular Posts

Matangazo

Copyright © UDAKU SPECIAL | Powered by Blogger