Hashimu Rungwe Amtolea Uvivu JPM, Ahoji Nchi imepinda Kuelekea Wapi?

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Ahoji kauli ya Rais kuwa nchi imepinda kuelekea wapi, Kuelekea Ubungo au Temeke? Anahoji kila mara Rais anasema ufisadi wakati kapewa jeshi, polisi na kodi za kumsaidia, kwanini hakamati hao mafisadi, ahoji CCM kuhoji ufisadi wa Lowasa na kushindwa kumkamata, hivyo wanamsingizia.
Amesema ndani ya miaka 10 nchi imepiga hatua kubwa kwenye maendeleo kuna barabara nyingi zimejengwa kwa kiwango cha lami, vyuo vikuu vilikuwa vitatu leo kuna vyuo vikuu vingi, kuna viwanja vya ndege vimejengwa na vingine kupanuliwa usafiri wa boti za kisasa njia za majini lakini Rais Magufuli anadai nchi imepinda, anahoji maendeleo hayo ndio kupinda kwa nchi?
Anendelea kudai kuwa Magufuli hajafanya chochote cha kujivunia kuwa kainyoosha nchi na kuleta maendeleo tofauti na kununua ndege na kununua ndege unachukua fedha na kununua tu, sio kazi kubwa
Tazama mwenyewe hapa
-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Tags

Post a Comment

2 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. hAJUI ALISEMALO..

    ReplyDelete
  2. Haya yote ni majipu, yasikurudishe nyuma mueshimiwa Raisi, ni vihunzi hivi vyapaswa kuviruka na kusonga mbele, Hawa ndie walikuwa wanaona nchi kama yakwao peke yao, imo ndani ya mikono yao. Sasa wanatapatapa na kutafuta wapiii? Pa kutokea.

    ReplyDelete

Top Post Ad