FULL VIDEO: Kutoka Mahakama Kuu, Freeman Mbowe Asikamatwe

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Ni kiongozi wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo Freeman Mbowe jana Mahakama kuu kufuatia kesi aliyoifungua dhidi ya Mkuu wa mkoa Dar es salaam Paul Makonda, Kamishna Sirro na ZCO Wambura kwenye sakata la tuhuma za dawa za kulevya.

Mahakama kuu leo imetoa maamuzi ambayo Mwanasheria wa CHADEMA Tundu Lissu ameyasema yote kwenye hii video hapa chini.

-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Tags

Post a Comment

1 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Kufika Mahakama kuu. Freeman Mbowwe Asikamatwe!!. Huko kichwa cha habari Ni Biased.. Lissu hapo ametaka. Ieleeweke hivyo kwa wasioelewa lakini maneno yake yamefafanua kiwa Ni mpaka ijumaa. Na polisi wakimuhitaji wanaweza kufanya hivyo..waandishi msishabikie habari bila kuelewa na vichwa wahariri mvipitie na mridhike navyo on face value. Viwe na muoano na mantiki..

    ReplyDelete

Top Post Ad