Idris Sultan Asema Amekoma Kuweka Wazi Mkwanja Anaoingiza Kwenye Deal Anazosaini

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Mchekeshaji Idris Sultan amefunguka kwa kusema kuwa sasa hivi hatoweka wazi tena kiasi cha pesa ambacho atakuwa anaingiza kwenye deal mbalimbali anazosaini.

Mshindi huyo wa BBA 2014 ambaye hivi karibuni alisaini deal ya balozi wa amani Tanzania, amedai baada ya wananchi kujua pesa ambazo aliingiza kupitia BBA kulisababisha mambo mengi kutokea.

“Kusema kweli siwezi kuweka wazi hela ambazo naingiza kwenye deal ya ubalozi lakini ni pesa nzuri sana, ningependa watu wanifuatilie mimi, hizi ishu nyingine waachane nazo kwa sababu ile ishu ya BBA ilizungumziwa sana. Yaani baada ya watu kujua napewa kiasi gani ilikuwa tatizo sana,” alisema Idris.
-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

2 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Good afternoon,

    grow up brother siyo kila kitu utangaze.

    ReplyDelete
  2. Kaka Idris unakumbuka blanket wakati kumeishakucha? Ukisikia msemo wa mtu kunya njiani kwa kudanganywa na kiza ndio hio. Yaani mtu anapita porini usiku kisha akabanwa mavi akaona asogee pembeni anye. Kumbe alikokua ndio pembeni na alikokunya ndio kulikua njiani basi asubuhi yake jamaa akapita mitaa ile anakuta rundo la mavi njiani.
    Take care.

    ReplyDelete

Top Post Ad