google-site-verification: googleb0bc30c3e5fdb812.html Mwanaume Aliyefanya Mapenzi na Maiti ya Mtoto wake Auawa | UDAKU SPECIAL

Mwanaume Aliyefanya Mapenzi na Maiti ya Mtoto wake Auawa

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA


Mwanaume mwenye umri wa miaka 45 kutoka Kenya amepigwa na Wananchi baada ya kufumaniwa akifanya mapenzi na maiti ya Mtoto wake aliyekuwa na umri wa miaka 15 ambapo ripoti ya K24 TV imeripoti tukio hilo kutokea kwenye kijiji cha Kiwanja Ndege  kaunti ndogo ya Kuresoi Kaskazini.

Mashaidi wanasema baada ya mtoto kufariki kutokana na uvimbe wa Ubongo kichwani walihifadhi mwili kwenye chumba cha pekee lakini mida ya SAA nane usiku baba wa mtoto huyo aliamka na kwenda katika chumba hicho na ndipo alipokutwa akiwa anafanya mapenzi na maiti hiyo kitendo ambacho kiliwakasirisha wananchi na kuanza kumpiga hadi kupelekea kifo chako
-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

1 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad