PAUL Makonda Ashindwa Kufika Clouds FM Kutoa Ufafanuzi Kuhusu Elimu na Mali Zake

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA


Jana Redio ya Clouds kupitia kipindi cha Power Breakfast walitangaza kuwa siku ya Leo Atakuja mkuu wa Mkoa Paul Makonda kutolea ufafanuzi mambo mbali mbali kuhusu yeye ambayo yamekuwa yakiongelewa na kushutumiwa bila yeye kutoa majibu.

Sasa asubuhi ya Leo kipindi hicho kimeomba radhi kuwa Leo Mh Paul Makonda hata weza kuja kwenye kipindi hicho kutokana na majukumu ya kiserikali yanayomkabili siku ya leo
-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

2 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Bado najiuliza ni kwa nini tuhuma zote kwa Mh.Makonda zimeibuka mara tu baada ya kutaja majina ya wauza unga?? Ingekuwa vipi kama hasinge anzisha vita hii ya madawa ya kulevya?? Wanataka kumkatisha tamaa ama nene!! Kumbe kweli wauza madawa ya kulevya wana mtandao mpana! Umdhaniae-sie-kumbe-ndie

    ReplyDelete
  2. Kama alivyotuhumu, ni wajibu wake kujibu tuhuma kwa kuthibitisha au kukanusha, kiufupi hili ndilo ingizo jipya ili kujishahulisha na ugumu wa maisha na njaa

    ReplyDelete

Top Post Ad