google-site-verification: googleb0bc30c3e5fdb812.html Ray C Akumbana na 'Majanga' Mengine...Lebo Yamtupia Virago Vyake | UDAKU SPECIAL

Ray C Akumbana na 'Majanga' Mengine...Lebo Yamtupia Virago Vyake

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Msanii wa bongo fleva Ray C amefukuzwa kwenye lebo ya wanene Enterteiment baada ya kauli ya yake aliyodai  kwamba hajasaini na lebo yeyote.


Akionge kupitia eNewz ya EATV, Maneja wa Wanene Enteriment Gentris amesema kuwa Ray C alikuwa kwenye hatua za mwisho kuweza kusajiliwa katika lebo ya Wanene ila alikosea baada ya kupewa demo ya nyimbo yake ambayo ilikuwa haijawa tayari na kuivujisha hali iliyopelekea uongozi wa wanene kukasirika na kuamua kumtimua.

Hata hivyo Ray C alivyoongea kupitia eNewz alisema sababu iliyopelekea yeye kufanya kazi na wanene ni baada ya kupewa ofa ya kurekodi na lebo hiyo ya Wanene hali iliyompelekea kushindwa kukataa kwa kuwa wanene ni lebo kubwa na yenye vyombo vya kisasa zaidi.
Itazame hapa....
-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad