Sauti: Askofu Gwajima Aelezea Sakata Zima la Makonda Kutumia Vyeti Vya Mtu Mwingine

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA


Siku moja baada ya Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda kusema kuwa hawezi kujibu madai ya mitandao ya kijamii kuwa alitumia vyeti vya mtu cha kidato cha nne, Askofu Gwajima wa Kanisa la Ufufuo na Uzima ameibuka na kusema kuwa ni kweli alitumia vyeti hivyo.

Askofu Gwajima amesema kuwa anamfahamu sana Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam na kuwa jina lake halisi ni Daudi Bashite na kwamba hilo la Paul Makonda ni la mwenye vyeti hivyo.

Aidha, Askofu Gwajima amedai kuwa anavyovyeti vya Daudi Bashite vinavyoonyesha kuwa hakufaulu na kwamba atashangaa kama Waziri wa Elimu, Prof. Ndalichako atalifumbia macho jambo hili. Pia ametishia kuwa, kama mamlaka husika hazitachukua hatua haraka basi yeye atatoka hadharani na vyeti hivyo.

Hapa chini ni sauti ya Askofu Gwajima akihubiri kanisani kwake.

-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

9 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Asante sana Gwajima kwa ushirikiano huoo!!!hayan sasa huyo dikteta raisi anasemajee?mbona hamtumbui??? kulikoni au kwa vile anamla nyumaa???huyu magufuli ni mshenzi sana na lazima 2020 atokeee!!! anaonea watu tuu..kichwani kwa makonda ni zero na ni mjuwaji sanaaaa watu wote wasio soma huwa hivyoo!

    ReplyDelete
    Replies
    1. huna akiri na una laana ya wazazi wako mshenzi mkubwa, unaanaje kutukana mtu aliyekuzidi umri? sheria ya mitandao ifanye kazi yake kwa huyu mshenzi ambaye hakufunzwa na wazazi wake, na adhibitishe aliyoyaandika hapo juu.

      Delete
    2. Kabisa!watu wasiosoma huwa wajinga kama wewe ulivyo,bila kumung'unya maneno wewe hujasoma hata kidogo,coz ziko lugha au maneno mazuri kukosoa sio matusi,msomi huwa anajua kuwa mitandao wanasoma wengi na wa rika tofauti hivyo kutumia matusi sio halali.

      Delete
  2. HUYU BABA NI MSANII TU.

    ReplyDelete
  3. Huyu jamaa nayeye ni mnafiki, mbona kasubiri mpaka alipotajwa anauza UNGA ndio povu linamtoka, alikuwa wapi siku zote?? Hata kama alipata zero, lakini utendaji na uongozi anauweza, amethubutu kufanya yalowashinda wenye vyeti halali........mtasema mchana usiku mtalala.....!!

    ReplyDelete
  4. Mchungaji wa kizazi kipya,teteteteteteh

    ReplyDelete
  5. ujuaji mwingi ukuda tuuu marinda ishalegezwaaa

    ReplyDelete
  6. Ndugu zangu kabla hujachangia mawazo yako katika jambo lolote,liwe limekukera sana au halijakukera, 1.fikiria,tafakari,acha hasira,2.tafuta lugha nzuri ya au maneno mazuri ambayo utaeleweka kwa kila mtu.3.jiulize nani anatakiwa kusoma ujumbe huu,je,atauelewa?

    ReplyDelete
  7. Hii skendo imetengenezwa na wauza unga, wanajaribu PLAN 'B', kwa mwendo wa huyu jamaa ni kweli kabisa yumo ndani ya mtandao wa madawa, kama hauzi, hatumii, basi anafaidika kwa njia moja ama nyingine......hata hivyo naona kama WAMECHELEWA vile, maana tayari vita imeshasambaa nchi nzima, sio kwa Makonda tu.........ALUTA CONTINUE

    ReplyDelete

Top Post Ad