SIRI IMEVUJA! Maongezi ya Mama Wema na Steve Nyerere Kuhusu Vigisu Walizozifanya Bungeni ili Wabunge Wamtete Wema Sepetu

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Maongezi ya Mchekeshaji Steve Nyerere na Mama Sepetu yamevuja wakijadili issue ya Wema Sepetu Kuwekwa ndani kuhusu Madawa ya Kulevya Pamoja na Mikakati yao kumtumia Wema ili wapige pesa kutoka Chadema na CCM....

Bonyeza Play Kusikiliza:

-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

9 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. SIASA NI MAJI TAKA.

    ReplyDelete
  2. hahahahah hallooowww!! Siri imefichuka, kosa la mesenja laleta balaa, kosa la mesenja laleta AIBUU......mupoooo.............PICHA NDO'KWANZA LINA-ANZA, LINANOGAJE....watu piiipooooooooo PWAAAAAAAA

    ReplyDelete
  3. The evil ones will keep revealing themselves.....Bora kuwa yatima kuliko kuwa na limama kama hilo. Haya nani wa kwanza kumbandua paka shume? Freeman? Halima Mdee tuliza boli zamu yako itafika.

    ReplyDelete
  4. Bora mzee Sepetu katangulia mbele ya haki. Hakuna mwanaume anaeweza kuvumilia upupu wa limke kama hilo. Mbaya zaidi limezaa copy yake. Mikurubembe miwili.

    ReplyDelete
  5. HIVI KUNA MTOTO ANAENDA KUOMBA USHAURI KWA HUYU MAMA KWELI JAMANI,KUMBE WEMA KARITHI.

    ReplyDelete
  6. EEEH,NAJIULIZA NI NANI ALIKUWA ANAWARIKODI?AIBUUUUUUUUUUUUUUUUUUUU

    ReplyDelete
  7. Mmmh,eti Wema aliwahi kutongozwa na makonda akamkataa,mmmh Makonda kaoge mfezafeza.Kukataliwa na Wema???????????????..............

    ReplyDelete
  8. usitumie jina la Nyerere tena, unalichafua, tumia jina lako mengere

    ReplyDelete
  9. MUONE HILI LIMAMA LINAVYO MPELEMBA MTOTO WA WATU..NALO LENYEWE WEMA WEMA MTEGEMEE MWENYEZI MUNGU WW FALA..NDO MAZARA YAKE HAYO YA UTEGEMEZI--Nothing else..

    ReplyDelete

Top Post Ad