Wema Aikataa Rasmi CCM Ajiunga Chadema..!!!

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA


Hatimaye mwana dada Wema Sepenga ameonesha kwa namna moja ama nyingine kuamishia majeshi Chadema mara baada ya kuona huko alikokuwa mwanzoni (CCM)alikuwa hayupo sehemu sahihi 

Hapo mwanzoni zilianza kama tetesi lakini taratibu ukweli wa mambo unaanza kudhihirika siku baada ya siku kuwa Wema si kada tena wa CCM na hivyo basi CCM wamepata pigo kubwa sana kumkosa huyu mtu kwa kuwa anawafuasi wengi saana ambao wapo tayali kumfata kokote kule aendako 

Na kwa kuonesha msisistizo zaidi Wema ameonesha mahaba mazito kwa mheshimiwa Freemaan Mbowe ikiwemo ku like picha zake nyiiingi huko Instagram 


-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

15 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Good even me nakuunga mkono after what you have done and what they did to you was unfair Hata mie now i follow you keep it up baby

    ReplyDelete
  2. alikuwa lowassa mwenye wafuasi tele
    sembusee wema
    aendee tuu
    ccm aliikuta

    ReplyDelete
  3. Heh! Mbaya hiyo lakini sahihi pia.
    Kuwa mahali sahihi maana yake nini?!
    Mahali sahihi kwa watumia madawa ya kulevya?
    Iwapo ndiyo hivyo, Wema hajakosea, CCM alikokuwa kweli hakukumstahili maana watumia madawa CCM na nchi nzima wanapigwa vita.
    Madawa ya kulevya kama wapo, ama waache waendelee kuwa wanachama safi wa CCM, au wahamie kwa wenzao!

    ReplyDelete
  4. duuh kumbe na ww umshaisoma number na sasa unasepa kimya kimya eee

    ReplyDelete
  5. Imechukua muda Mrefu kwa wasanii kuuona ukweli. Mlitumika tu wakati wa uchaguzi. Homgere Wema Sepetu. nawengi Wasanii mtauona ukweli. Sasa mmepewa short change. Ni vizuri mmnafunguka polepole. Kuna hope. mtu mmoja habadili nchi, lazima mfumo mzima ubadilike. Magufuli peke yake hawezi kubadili Tanzania, Inabidi Watanzania wote pamoja kwa kuipenda, kuitetea, kuijenga na kuilinda nchi kwa mwongozo na mfumo mzuri na uzalendo wa kweli tu. Nchi itabadilika. Lowassa alisema Mchakamchaka. Watu tumelaza damu. Vijana amkeni. Hili taifa ni mali yenu nyinyi, msiposimama imara na kulilinda, limekwenda. Hawa vigogo wameshapitia na inabidi wapumzike. Jielimisheni Tafadhali, Fanyeni kazi kwa nguvu na kimaarifa. Taifa litabadilika. Heri upate elimu bora, kuliko nyumba ya thamani ya mali ya cocain, kuiba na isiyo na hadhi. Ukipata elimu, utabadili kizazi chako kielimu na kijacho. Hapo ndipo tutakapoivunia nchi yetu watu wakiamka kiakili, kiafya, kimaendeleo na kiuzalendo. Nyimbo, mazungumzo, maigizo yaendane na mabadiliko kielimu. I belive vijana mtaweza mkiungana. Anzeni sasa bado mna nafasi.

    ReplyDelete
  6. Akwende zake huko wanapo jaa wakiukwaji wa sheria. Basi alifikir kuwa mtu wa CCM ndo kukiuka sheria za inchi? hakun alie juu ya sheria na kama alikuwa CCM na kufikir eti akivunj sheria watamuach alikua amejidangany hii sio ile Tanzania ya kuoza hii ni Tanzania mpya ya JPM na hio ya wema na Manji ni salamu kwa wale wote wanao fikiria eti mimi ni mtu maaruf et hawanigus hapo wamegong mwamb na kwahiy basi waheshim sheris za Inchi.

    ReplyDelete
  7. Msiwe mnaapa kwa kusema uongo,huyu si alisema baba yake alimuambia awe ni M-ccm?
    Na si alisema CHADEMA ikishinda atahama nchi?alijua kuwa CCM itakuwa madarakani milele?

    ReplyDelete
    Replies
    1. Wema amekuwa akiipia ccm kwa muda na kuiona kuwa ccm imekithiri kufanya maonevu yasio mipaka dhidi ya upinzani pamoja na yale yaliyotokea kule anzibar

      Delete
    2. Hakuna lolote,wako kwa kufuata maslahi na mabwana tu.
      Mbona alitaka ubunge kupitia CCM?mwenendo wa ccm umeanza jana?

      Delete
  8. KWENDRAAAAAAAAAAAAAAAAAAAA

    ReplyDelete
  9. Sawasawa kabisa, nenda hukohuko kwenye 'chaka-la-wahalifu', tena kuna wanasheria wengi tu huko hawana kazi za kufanya, kazi zao ni kutetea wahalifu na uhalifu...........

    ReplyDelete
  10. ana haki kama kweli anaihama ccm. ila kama alienda ccm kwa kufikiri kuwa watamlinda hata akiwa na maovu alikosea sana. kuhama hama hakutakusaidia sana sana kutakusababishia wakubane/wakushughulikie zaidi. fikiria tena!!!!!

    ReplyDelete
  11. Hii nchi wakubwa wengi hawana huruma na wananchi wao,wako kuvimbisha mitumbo yao na familia zao tu,kwenye uhalifu hata kama kuna uthibitisho mtu anatetea kisa mwenye kushtaki ni mpinzani,Ndio maana mie nilishaapa kutopiga kura mpaka naingia kaburini.

    ReplyDelete
  12. YALEYALE YA KAMA KWA LOWASA,HAYA DADA NA NI LAZIMA UTAPATA NA UBUNGE.
    NCHI YANGU TANZANIA HAINAGA UPINZANI THABITI.PTU

    ReplyDelete

Top Post Ad