• Hot Topic

  20 Mar 2017

  Alichokisema Wema Sepetu Baada ya Rais Magufuli Kumtetea Makonda Leo....


  Wema Sepetu Kupitia moja ya Account zake za kijamii ameandika ujumbe ambao dhahiri shari kuwa unamuelekea Rc Makonda kwa njia ya mafumbo

  ameandika hivi

  Ukiona twiga anaringa mbugani basi ujue simba bae wake,,,,

  3 comments:

  1. Magu oyeee m
   ako oyeeee.waache waseme mwisho watachoka Goma la sikinde tunalie ndeleza..

   ReplyDelete
  2. Mwizi wa waume za watu eti ana comment. Hivi uliwalipa TANESCO na DAWASCO ? Limama lako chafuu eti juzi lilikaribishwa tawini hahahaha. Kavute bangi jamvi la wageni weee. Mrs Lema kuwa makini na paka shume linalomrandia mumeo

   ReplyDelete
  3. Makonda anafanya kazi nzuri na ameanzisha vita kubwa haya yote tuliyategemea. na yanatokea.. Endela Makonda. Hapa Kazi Tu. wakwite bashite au shite au bite yote ni yako na ni Poa tu....Hatutetereki na Vita Hii. Hubiri mpaka upasuke watu watakusikia usiku watalala asubuhi siku mpya na kazi endelea.

   ReplyDelete


  Mapenzi

  Hot Gossip

  Siasa