Kimenukaa.. Aliyesoma Pamoja na Makonda Chuo cha Ushirika Moshi Aibuka na Haya..Amtaka Ajiuzulu Haraka Kabla Mambo Hayajazidi Kumuharibikia..!!!!

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA


Hapa sikutaka kumzungumzia kabisa Makonda hata nilipokuwa Dodoma kwenye mkutano baadhi ya marafiki tuliosoma nae ushirika tulijadili na kuona chama kinamlea vibaya sana.

Leo nimeona video ikimuonyesha akivamia ofisi za clouds Tv hili jambo ni gumu sana sana Mhe. Rais aliangalie kwa kina sana la sivyo linaendelea kutuchafua sana, ukitazama mitandao ya kijamii utaona tunavyotukanywa na mtu anayeonekana mbaya ni Rais wangu.

Nemeona mandiko baadhi ya makada wenzangu wabunge na hata mawaziri wakishanga jambo hili, mimi binafsi nimeshindwa kuvumilia namuomba Rais wangu na mwenyekiti wangu wa ccm amuondoe Poul Makonda kwenye nafasi hii ya mkuu wa mkoa kuendelea kumwacha ni kukichafua chama chetu.

Makonda Ondoka Mwanyewe kaka yangu na rafiki yangu ondoka mwenyewe kuendelea kubaki ni kuifanya ofisi ya Rais inapoteza dira yake na mwelekeo.

ni mimi

Meijo Laizer 
Mjumbe wa NEC TAIFA
Wilaya ya Siha
-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

4 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. mnajisumbua bure na kelele zenu mwenye nchi kasha sema aendelee kupiga kazi na yy mkuu ndo anaejua nani akae wapi na nani akae wapi hebu endeleeni na kutafuta maisha ya makonda yaacheni

    ReplyDelete
  2. Wote hao ni wauza ngada l ngwajima nfo msemaji wao nani asiejua



    ReplyDelete
  3. TENGENEZENI KILA BAYA KWA MAKONDA,LAKINI HAMUWEZI KUSHINDANA NA MUNGU.SIKU IKIFIKA MAKONDA ATAONDOKA KAMA ALIVYOTEULIWA.LAANA WAKUBWA NYIE.

    ReplyDelete
  4. dogo makonda piga kazi mtu wangu achana na vyeti kuzuia unga hakuhitaji cheti hata mkulima anatakiwa awe na mafunzo ya siku mbili jinsi ya kupambana na wauzaji we lala usingizi mzito magazeti yataandika lazima si biashara wanauza we piga kazi kaka na alie pamoja na mungu hahitaji mtu

    ReplyDelete

Top Post Ad