Kimenukaa..Kamanda Sirro Amuita Makonda Centro,Awataka Wote Waliohusika Aonanae Nao Polisi Haraka..!!!!

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA


Kamishna wa Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam, Simon Sirro amesema suala la uvamizi wa kituo cha Clouds Tv wahusika wanatakiwa kuripoti tukio hilo Polisi haraka.Amesema atafuatilia kwa Kamanda wa Polisi Mkoa wa Kinondoni, Suzan Kaganda kama tayari limeripotiwa kwa hatua zaidi
-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

4 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. thanks mr president unaonyesha jinsi gani hupendi kuyumbishwa shililia msimamo huohuo

    ReplyDelete
  2. wakati umefika wa kuinyoosha nchi mwacheni magu ainyoshe nchi hatutaki kuyumbishwa na matajiri kwani makonda yoko sahihi kabisa kasema ukweli wake watu wanaanza kumuundia zengweHAPA KAZI TUUUU MADILI YENU YAMEBANWA HAOOOOOO

    ReplyDelete
  3. Watu wa nchi hii kila mtu ni mwana-harakati na mwana siasa, haiwezekani tunaiwa wengi tuwe nje ya hayo yanatulemaza kwa kusubiria vibakuri kutoka nchi fitna kwa taifa letu ziwawezeshe na kuligeuzia kisu taifa lako. Mhe, aliisha tamka ajaribiwi nashangaa kwanini watu hawaamini hicho? shikiria hapo mhe, hakuna kupepesa macho atakaye haribu tena makusudi kwa kutaka kukujaribu kata visigino vyake, tunataka nchi isonge mbele na siyo siasa na porojo za watu walioishiwa pumzi. Mhe, rais JPM tupo pamaoja na wewe na mkuu wetu wa Mkoa Comrade Makonda. Vita ya madawa ya kulevya na udokozi iongezewe kasi naona kama kuna watu wameishaanza kufurukuta tuwakabe koo wasipumue. Tanzania OYEEEEEEEEE.

    ReplyDelete
  4. you are very right haha

    ReplyDelete

Top Post Ad