Mashabiki wa Muziki Wamdhihaki Diamond Mtandaoni

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA


MASHABIKI  wa muziki wa  Bongo Fleva nchini wamekuwa wakisambaza picha ya mwanamuziki nyota, Nassib Abdul ‘Diamond Platnumz’,  ikimuonyesha akiwa katika hali duni tofauti na ukwasi alionao hivi sasa.

Mashabiki hao wamekuwa wakiisambaza picha hiyo kwa lengo la kumdhihaki ili kuonyesha kuwa maisha huanzia mbali,  hivyo watu wasisahau walikotokea.

Picha hiyo imekuwa ikisambazwa pamoja na ujumbe tofauti hivyo kuwaudhi  mashabiki wa mwanamuziki huyo na kuwafurahisha mahasimu wake.

Aidha  picha hiyo inawaonyesha Diamond na mwigizaji Irene Uwoya ambapo Diamond anaonekana katika taswira ya kijana mwenye hali duni tofauti na alivyo hivi sasa.
-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

2 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. HAKUNA ASIYE NA HISTORY. NDIO KAPIGA KAZI KATOKA KWENYE MAISHA DUNI.SASA MLITAKA ABAKIE HUKO? WALE WANAOMZIHAKI DIAMOND WAKASOME HISTORIA YA DANGOTE, WIVU UNAWASUMBUA TU. KUZALIWA MASIKINI SIO DHAMBI, DHAMBI NI PALE UNAPOKUBALI KUFA MASIKINI!!!

    ReplyDelete
  2. Ninyi wachangiaji manaojifanya mnampenda D ndio mlaleta maneno ya kumsimanga au kudhani wengine wanafanya hivyo. Mleta hoja wa kwanza katumia mfano wa Diamond kumtetea au kumpa moyo Harmo Rapa.. kitu ambacho hata yeye Diamond angeweza kumwambia Harmo kwamba usikate tamaa angalia mimi nilipotoka.

    Wachonganishi tu. Diamond you did well son and we love you. Harmo rapa usikate tamaa ona D alipotoka baba.

    ReplyDelete

Top Post Ad