Mbowe :Rais Magufuli Ndiye Rais wa Pekee Tanzania Atakaekaa Madarakani kwa Kipindi Kimoja..!!!

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA


Mhe Rais Magufuli ndiye rais wa pekee Tanzania atakaekaa madarakani kwa kipindi kimoja cha utawala wake kutokana na kuendesha nchi kibabe bila kufuata sheria, uonevu, upendeleo na hali ngumu ya maisha inayawakabili wananchi tofauti na kipindi kilichopita.Mbowe ametoa kauli hiyo wakati akizindua tawi jipya la Chadema katika kijiji cha Mpakani Kata ya Kwakifua Wilaya ya Muheza mkoani Tanga leo Jumamosi

Freeman Mbowe

M/kiti Chadema-Taifa.
-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

12 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Umegeuka marehemu Y.Hussein. tujulishe ofisi zako tukutembelee.

    ReplyDelete
  2. Kwa taarifa yako huyu ndiyo tytakae muombea kuongezewa muhula baada ya 2025. Kawagusa Sana na Kiasi yake. Hesgima inarudi ubadhirifu unatoweka na madawa mtayasikia Halafu tu Kama itakuwepo. Makonfa endelea na Dar yetu mpya

    ReplyDelete
  3. Uko sahihi mr mbowe
    Achana na hawa vibwengo wanakomment ushamba tu..
    Hali mbaya kwa sasa .....
    Muulize Bashite

    ReplyDelete
    Replies
    1. Usahihi upi wa Mbowe ilhali hata kodi anakwepa?

      Delete
    2. Ni kweli kabisa hali ni mbaya kwa sasa, hasa kwa WAPIGAJI kama wewe na huyo Mbowe wenu, maneno meeengi kumbe ni mkwepa kodi mkubwa.... mfyuuuuuu

      Delete
  4. Unajidanganya nafsi yako. Au unajiburudisha.

    ReplyDelete
  5. Watamchagua wajinga wajinga, mwenye ufahamu hawezi mchagua Huyu. Ila wajinga wajinga sawa.

    ReplyDelete
    Replies
    1. Hakika hata baba yako atamchagua

      Delete
    2. Ninauhakika wewe mjanja pamoja na huyo Mbo... wako hamjampigia kura JPM, kwa hiyo hesabu itabaki vile-vile.....HAPA KAZI TU

      Delete
    3. wewe ndo mjinga tena kilaza mkubwa kwanza wewe una ufahamu gani hapo ulipo kama si kuwaza kupuga deal tu?????tuna ufahamu wa kutosha na tutamchagua kwa kura nyingi wewe endelea kuvuta ogolo na madawa ya kulevya mshenzi mkubwa.

      Delete
  6. Mbowe hakuna Tena dili fanya utoe chetu.kodi na Mali yetu sisi Watanzania na watoto zetu . Na serikali yetu tumeipa jukumu la ukusanyaji sasa we lini utaelewa hili.. Shauri yako utan...a debe

    ReplyDelete
  7. Hee natamani angekuwa raisi wa maisha, wewe mkwepa kodi una chuki binafsi, achana na hilo jembe, ulitaka raisi wa aina gani!!!! Kelele kila siku hamridhiki na anachokifanya,, wewe ni nani kwanza!!! Kama hutampa kura ndugu zako wote watampa,, Hapa kazi tuuuu

    ReplyDelete

Top Post Ad