Gossip, Politics And Love Affairs

Mbwana Samatta Atoa ya Moyoni Baada ya Makonda Kuvamia Clouds Usiku Usiku Akiwa na Kikosi cha Askari..!!!


BAADA ya kuvamiwa kwa Kituo cha Redio cha Clouds Fm, imeibuka mijadala mingi, Watanzania wakaijadili kila kona ya nchi. Katika mijadala hiyo, wapo wanasiasa, watumishi wa umma, waumini wa dini na wanamichezo ambapo mchezaji wa Taifa Stars anayekipiga nchini Ubelgiji katika Klabu ya Genk, Mbwana Samatta amefunguka kuwa wanasiasa wanakosa maadili.

“Ndiyo maana siasa imekuwa cheap maana viongozi wenyewe wana-hang out na akina Amber Lulu na Gigy Money” aliandika Samatta.

Credit  -Globalpublisher
Tupe Maoni Yako

Post a Comment

SAMATA UMENYANG'ANYWA MKE?ACHANA NA MAMBO YA SIASA,WAKO WATU NI WASANII NA ELIMU ZAO WAKO KIMYA.

Kwani ni dhambi kisiasa?mwanasiasa ni binadamu sio ajabu kuwa na amberlulu au gigy money ili mradi ajiheshimu.

[blogger]

MKRdezign

Contact Form

Name

Email *

Message *

Powered by Blogger.
Javascript DisablePlease Enable Javascript To See All Widget