Mbwana Samatta Atoa ya Moyoni Baada ya Makonda Kuvamia Clouds Usiku Usiku Akiwa na Kikosi cha Askari..!!!

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA


BAADA ya kuvamiwa kwa Kituo cha Redio cha Clouds Fm, imeibuka mijadala mingi, Watanzania wakaijadili kila kona ya nchi. Katika mijadala hiyo, wapo wanasiasa, watumishi wa umma, waumini wa dini na wanamichezo ambapo mchezaji wa Taifa Stars anayekipiga nchini Ubelgiji katika Klabu ya Genk, Mbwana Samatta amefunguka kuwa wanasiasa wanakosa maadili.

“Ndiyo maana siasa imekuwa cheap maana viongozi wenyewe wana-hang out na akina Amber Lulu na Gigy Money” aliandika Samatta.

Credit  -Globalpublisher
-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

2 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. SAMATA UMENYANG'ANYWA MKE?ACHANA NA MAMBO YA SIASA,WAKO WATU NI WASANII NA ELIMU ZAO WAKO KIMYA.

    ReplyDelete
  2. Kwani ni dhambi kisiasa?mwanasiasa ni binadamu sio ajabu kuwa na amberlulu au gigy money ili mradi ajiheshimu.

    ReplyDelete

Top Post Ad