• Hot Topic

  18 Mar 2017

  NEWS ALERT: Mkuu Wa Mkoa Anusurika Kufa Kwa Kugongwa Gari Akifanya Mazoezi Asubuhi Hii

  Watu wawili wamenusurika kifo baada ya kuwagonga wananchi waliokuwa katika mazoezi asubuhi ya leo Jumamosi Machi 18,2017 mjini Iringa huku mkuu wa Mkoa wa Iringa Amina Masenza na katibu tawala Wamoja Ayubu wakinusurika katika ajali hiyo.

  Ajali hiyo imetokea nje ya lango la kamanda wa polisi mkoa wa Iringa dakika tatu tu baada ya kuanza mazoezi kuelekea uwanja wa Samora.

  Ajali hiyo imesababishwa na dereva taxi kuwaparamia wafanya mazoezi hao.

  Taarifa kamili inakuja hivi punde...

  No comments:

  Post a Comment


  Mapenzi

  Hot Gossip

  Siasa