Gossip, Politics And Love Affairs

Polisi Wadaiwa Kumsaka Mange Kimambi. Latolewa Agizo la Siri Kwa Vituo Akionekana Akamatwe!

Katika hali inayoonesha kuwa taarifa zinavuja kwa kasi na ishara kuwa Mange anakubalika kwa watu wengi hata ndani ya system, Jana Mange amepost waraka anaodai kutumiwa na mtu toka ndani ya system.

Waraka huo ulioandikwa siri unaelekeza baadhi ya maofisa wa mikoani kutoa taarifa haraka iwezekanavyo kwa vyombo husika pindi atakapoonekana maeneo ya mipakani ili akamatwe na kujibu kesi zinazomkabili....

Mange Kimambi amekuwa mstari wa mbele kuikosoa serikali hii na mambo mbali mbali katika jamii....Tupe Maoni Yako

Post a Comment

Ovyooo, mkitetewa akamatwe, mkikaliwa kimyaa mnaugulia. Mbona hawajakamatwa wasio na colofications ofisini!! Wamefukuzwa wazazi wetu wasio na mtetezi. Ukabila tu

Ovyoooo siyo kweli kama atafutwe kama Tanzania labda wanaweza shindwa lakini siyo America kwasababu wanajuwa wapi anaishi is just second watakuwa wameisha mkamata, bado hajataka kumkamata.

[blogger]

MKRdezign

Contact Form

Name

Email *

Message *

Powered by Blogger.
Javascript DisablePlease Enable Javascript To See All Widget