Ukweli Mchungu...Mange Kimambi Ndiye Mtu Pekee Anayeweza Kumsafisha Makonda..!!!

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA


Ni ukweli usio pingika kwamba asilimia zisizopungua sitini za watanzania wanaamini kila kitu anachokisema Mange Kimambi kiwe kizuri au kibaya wa tanzania watakichukua kama kilivyo na watakiamini kwa 100%

Nina uhakika 100% Mange Kimambi akiamua kuliyumbisha hili tukio la Bashite kwa kuleta information za kumsafisha Bashite ikiwezekana hata kwa kumchafua Gwajima watanzania watamuamini Mange na shutuma zote ambazo alikuwa anahusishwa nazo Bashite zitakwisha haraka kama moto wa nyasi hii yote ni kwa sababu tu Mange ameshika akili watanzania wengi kiasi kwamba wengine hasa wale wapenda ubuyu ni vigumu sana siku ikapita bila kupitia IG kwenda kuona Mange kaposti nini.


Na kwa kuwa ma bloggers wengi source yao kubwa ya habari ni kwa Mange na kwa kuwa watanzania wengi wanategemea habari kutoka kwenye blogs mbalimbali hivyo basi ina maanisha habari itakayosambazwa itaaminika tu bila kuchujwa wala nini 


Na ukitaka kuamini zaidi kwamba Mange ndio kila kitu ,kuna kipindi alitulia kidogo kupost habari za Bashite ,kutulia kwa Mange kulififisha kabisa habari za Bashite watu walikuwa washaanza kumsahau taratibu na alipoenda kufanya ufunguzi wa barabara alishangiliwa kana kwamba hamna chochote kinacho endelea juu yake.


Hivyo basi napenda kumalizia kwa kusema kuwa sakata la Bashite litaisha pale tu Mange atakapoacha kumuongelea watz watalisahau taratibu taratibu hatimaye wataliacha kabisa

Au kama si kuliacha basi aligeuze juu chini chini juu kwa kutafuta taarifa za uongo na kweli za kumsafisha Bashite na nina uhakika atafanikiwa.
-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

4 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Hana lolote mange kimavi

    ReplyDelete
  2. Ni kweli kabisa unachokiongea Ndugu mwandishi wa habari hii kwa sababu Nchi yetu ya Tanzania tumekubali kuongozwa na mambo ya kwenye mitandao na Rais wetu wa kwenye hiyo mitandao ni huyo mtu aitwaye Mange Kimambi. Tumeamua kumthamini na kumuona kama ni mtu pekee na sahihi wa kuliendesha Taifa letu tukufu la Tanzania kwa vijihabari vyake anavyovitoa kupitia mitandao ya Instagram na baadhi ya Blogs. Huyu mtu aitwaye Mange Kimambi kwa kutumia hizo hoja za uhuru wa vyombo vya habari na ukizingatia anaishi katika Nchi inayoruhusu kwa kiasi kikubwa ule uhuru wa kujieleza hata kwa mambo ya kipumbavu, amekuwa akitumia uhuru huo kwa kutulisha sisi Watanzania habari zisizokuwa na tija wala maendeleo kwa Taifa letu. Na tunaendelea kumtunuku huyu mtu. Sasa huyu mtu ndie anayejitahidi kutoa porojo zake ambazo kimsingi anataka ziliendeshe Taifa hili la Tanzania. Kwa mtindo huo Watanzania tuna kazi nzito mbele yetu. Kama ni kweli huyo Ndungu ana uchungu wa mambo yale yanayoendelea katika Taifa hili basi pasipo shaka asafiri na aje hapa Dar es Salaam ili tuendeshe hayo mapambano tukiwa tunasota pamoja hapa Tanzania. Na sio kuyasemea hayo maneno akiwa huko Marekani.

    ReplyDelete
  3. posti yako ni utumbo, jipange upya. eti watanzania kwani we mrundi??????????

    ReplyDelete
  4. Mange hajashika akili ya mtu sawa we dubu kila mtu anaona kile kinachoendelea sawa we mbwa...mange anchofanya ni kuleta evidence tu ya kile kilichopo sawa we punda maana unazungumza utoko usioleweka...mixeeew umenichefua kweli..watu 50m washikwe akili na mtu mmoja unajielewa kwlei ww au ulizaliwa njiti

    ReplyDelete

Top Post Ad