google-site-verification: googleb0bc30c3e5fdb812.html Wasichana: Yaheshimuni Maungo yenu | UDAKU SPECIAL

Wasichana: Yaheshimuni Maungo yenu

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Umevaa suruali imekubana na kuyachora maungo yako yote, halafu imechanwa chanwa mapajani kwa mbele, maungo yako yanaonekana na kila mtu.

Unakutana na rafiki yako anakuuliza kama umeolewa nawe bila haya unasema "niolewe na nani shost, wanaume wenyewe matapeli tu"

We unadhani kuna mwanaume mwehu mpenda laana, wa kukuoa wewe, uje kumletea laana kwenye ukoo wake, mwishowe aje azae watoto wehu.

Utabaki hivyo hivyo, ukija kushituka ushazeeka unaamua kujioa kwa kwenda kuishi na lishikaji tu (sio mume).

Hapo ndo unaishi kwa shida full vilio kwa kuwa na mume asiyeeleweka, wakati wewe mwenyewe ulishindwa kujenga misingi ya kueleweka.

Poleni wote mnaopitia vipindi hivyo hasa mkiwa ndio wasanifu na wajenzi hali hizo.
-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Tags

Post a Comment

1 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Hahahahaha duuh, sio kwa povu hilo........tumekuelewa lakini

    ReplyDelete

Top Post Ad